Kwani sheria inasemaje?akizidi miaka18 haruhusiwi kushiriki?
hahahahah we jamaa umesiliba kabisa.Tutegemee fix,kamba na justification za kikuda mpaka tukae chini!
Bora ifike huko Miss World wadisqualify. Haya mashindano yenyewe hayana faida yeyote!Aibu hii ni ya Taifa zima mkuu wala siyo lundenga ama mtemvu!
Na ikifika miss world tu, tuna disqualify kushiriki mara moja! halitokuwa na mjadala hilo hata kidogo!
Suala lake la umri wa kichina limekuwa gumzo sana ndani ya muda mfupi!
Nimeona taarifa yake bbc swahili nako wanamzungumzia juu ya sakata lake!
Hii nchi yetu karibu kila kitu kinaendeshwa kimagumashi magumashi tu!
![]()
This face at 18yrs! is this possible??
Bibi keshabebwa bhana!Kumbe ndio huyu miss Tanzania!!! nasikia tu watu wakilalamika,lakini mikono yake inaonyesha sio msichana tayari ameshakuwa bi mkubwa
huyo mama si ndiyo angetoa ushahidi sasa kwamba bintiye yuko under 25?Bibi keshabebwa bhana!
Lundenga aliongea mambo mepesi sana kumlinda huyu bb bomba!
Mama yake alipaniki vibaya sana mbele ya media na kudai kuwa kwanini asiulizwe kwanza hii arguement?
Only in Tanzania!
Miss World huyu akiingia hata 80 bora mimi sichangii nyuzi kwa mwezi mmoja.....Alostahili ushindi wa kushoto au kulia ila wa kati ni majanga tu.
Huyu sio binti ni mama...
Bibi keshabebwa bhana!
Lundenga aliongea mambo mepesi sana kumlinda huyu bb bomba!
Mama yake alipaniki vibaya sana mbele ya media na kudai kuwa kwanini asiulizwe kwanza hii arguement?
Only in Tanzania!
Mama yake hana wisdom mbele ya umma hata kidogo!huyo mama si ndiyo angetoa ushahidi sasa kwamba bintiye yuko under 25?
hayo maneno nadhani yamesemwa na mwaname mwenzake, miss Tanzania 2012/13!Wanasema this is the minor and petty issue eti!Eti tumekalia umbea na wivu!!Ni upepo utapita...wakubwa washamaliza mtoto wao hawezi aibika