Kesi ya Erick Kabendera yapigwa kalenda tena. Afya yake yatajwa kuzorota

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari za Kichunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Septemba 12, 2019

Kesi hiyo imeahirisha kutokana na Mawakili wa Jamhuri kudai upelelezi wa kesi hiyo yenye makosa ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha na Kukwepa kodi, bado haujakamilika

Aidha, Wakili wa Utetezi, Jebra Kambole ameieleza Mahakama kuwa afya ya Kabendera imezorota baada ya kupata shida ya upumuaji hasa inapofika usiku

Wakili Kambole ameeleza kuwa hali hiyo pamoja na miguu kukosa nguvu ilianza tangu Agosti 21 akiwa mahabusu

1.jpg

Pia soma:

Daah,
Tutachafuka vibaya mno kmataifa asee.
Hata jamaa tu kua ndani ni tego,akidhurika asee,cant imagine so called beberuz reaction.
Unaweza shangaa mambo yakafika ad UN and co'
Ndio Wenye macho wachunge hujuma na uzandiki kutoka kwa wasioipendea mema inji. Maana upenyo wowote ni fursa.
 
Daah,
Tutachafuka vibaya mno kmataifa asee.
Hata jamaa tu kua ndani ni tego,akidhurika asee,cant imagine so called beberuz reaction.
Unaweza shangaa mambo yakafika ad UN and co'
Kabendera alitumika kama Mobutu, hivyo alipokamatwa tu, kazi yake iliisha hapo hapo na faili lake likafungwa! Hamna anayemuona wa maana tena. Afe asife, shauri ni lake tu. Wanawatumia wengine.
 
Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari za Kichunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Septemba 12, 2019

Kesi hiyo imeahirisha kutokana na Mawakili wa Jamhuri kudai upelelezi wa kesi hiyo yenye makosa ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha na Kukwepa kodi, bado haujakamilika

Aidha, Wakili wa Utetezi, Jebra Kambole ameieleza Mahakama kuwa afya ya Kabendera imezorota baada ya kupata shida ya upumuaji hasa inapofika usiku

Wakili Kambole ameeleza kuwa hali hiyo pamoja na miguu kukosa nguvu ilianza tangu Agosti 21 akiwa mahabusu

Pia soma:

Hili life halina faida ,lingetuletea madhara makubwa sana kwa taifa,wasilipe huduma za matibabu
 
Back
Top Bottom