Kesi ya Bilionea Msuya yakwama. Mtoto wa marehemu ataka aombewe

Hawa watoto wanapitia wakati mgumu sana, wana haki yao na Bibi yao ana haki pia hasa kwasisi wachaga tunajua namna Mali zinavyoendelezwa kutoka kizazi hadi kizazi, Mama yao kama akikutwa na hatia, basi wajue walipata mama shetani..... Shida zote wanazopata ni kwa sababu ya Mama yao, na kwa kesi za mauaji japo mahakama bado haijamkuta na hatia mama yao, ila naamini police sio wajinga kumpeleka mahakamani mtu ambaye hakuhusika na mauaji ya dada wa Msuya.
Binafsi nawasikitikia sana hawa watoto, mama yao kichwani sifuri kabisa, na hao ndugu wa mama ndo wangekaa mbali kabisa na hii kesi, mana wanaongeza hasira za ndugu wa Msuya.
 
Je Ni kweli amekiri kuhusika?Jamani.Ye Dada ananiuma Mpaka Leo.Na shingo yake ya pingili what a beautiful lady I ever seen(wauaji hawakuiona ile shingo?
Yqqni Bibi ashindwe kuwa mbaya Kwa mtoto wake WA kumzaa aje kuwa mbaya Kwa mjukuu wake?? Huyo kijana inshort ni kwamba Hana akili brain washed,huwez kuegemea upande WA wajoomba hata siku moja sababu yy hata ukoo wake ni msuya,angetumia nafasi hii kuleta uhusiano mzuri ndani ya familia,mama yake ana kesi ya mauaji ya shangazi yake na amekiri kuhusika,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 4 unakumbuka.?okay.But inawezekana.Hata Mimi kuna vitu vya zamani nikiwa mdogo sana Na kumbuka ila kwa 4 years we kiboko
YAANI KUNA FAMILIA ZA JABU DUNIANI

Nafananisha na yaliyotukuta km sis kwenye familia tulikuwa watatu ....MZEE. Alipofariki ..ndio wa baba wakakimbilia mahakamani kuzuia mirathi

Nakumbuka mi niliikuwa nina miaka 4 mdogo wangu aliyenifata alikuwa na miaka 3 na wa mwisho alikuwa na miezi 4

Familia nzima ukoo wa marehemu baba walitukana mahakamani hawatutambui na wala sisi sio ndugu zao na wala marehemu hakuwa na watoto

Yaani nilikuwa mdogo kila wakati mama tulikuwa tunaenda naye mahakama ya mwanzo ...mpk maaamuzi yalipotoka ya mahakama

Kesi tukashinda mahakama ikaamuru msimamizi wa mirathi ni mke wa marehemu ambaye ni mama yangu mzazi

Tokea hapo hatukuwahi kuonana 1992 mpk WOTE watatu tumepata kazi .....na nimejenga ndio wakajileta

AISE NILIWASOMEA YOTE WALIYOTUTENDEA WAKAONDOKA MPK LEO KILA MTU ANA 50 ZAKE
TUNAONANA KWA MBALI SANA ....

KWA HIYO MAMBO YA MIRATHI YASIKIE KWA MWENZAKO ILA YAyasitokee kwenye familia ndugu wa upande wa baba waonekane much know

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IPO hivi.Inasemekana Baada ya mke wa marehemu kuchaguliwa kuwa msimamizi wa Mali Alitengenezewa Kesi(WiFi yake alipouawa naye akaingizwa(Hapa panda utata sana)Sasa bibi akaenda mahakamani Tena kudai WiFi(mkwewe)Aondolewe Kwenye mirathi kwa kuwa ana Kesi ya mauaji(kumbuka bado hukumu)INA maana Hapo kuna siri nyingi zimejificha .Tusiusemee moyo.Tu subiri mahakama.Ndo Mana yule mke wa Erasto Baada ya kuona ana Kesi ngumu vile akamteua kaka yake aisimamie.Ili akipona Kesi aje aendeleee.But bibi ana uhakika Kesi Huyo Mama kachomoi.Ndo anataka atolewe waww wao.Kifupi kuna utata sana
Wewe utakuwa hujui kinachoendelea na ndio tatizo la wabongo kujifanya tunajua wakati hatujui... Iko hivi


Baada ya Kifo Cha erasto maamuzi ya kikao Cha familia walimteua Huyo MKE wa marehemu Erasto kuwa msimamizi wa Mali za marehemu ...


Ila baada ya huyo mke wa Erasto kuhusishwa na kifo Cha wifi Yake na mpaka Sasa kuwa mahabusu ... Aliteua Kaka zake kwa usiri kusimamia Mali hizo za msuya Kitu ambacho wazazi wa Erasto (Bibi na Babu) hawakubaliani... Inakuaje wajomba wasimamie Mali za Erasto ...


Wanachotaka Bibi na Babu sio Mali Ni usimamizi wa mali uangaliwe Tena baada ya Msimamizi mkuu kuwa mahabusu na sio hao wajomba ...



Mimi nilikuwa Nina mtazamo Kama wako ila baada ya kufuatilia kwa Millard Ayo video zipo... Nilielewa zaidi na niliona hao Bibi na Babu hawahitaji hata shilingi moja Bali usimamizi uangaliwe upya maana wanashuhudia Mali za marehemu mtoto wao zikitumiwa vibaya na hao wajomba... Imefikia hatua hata watoto wa marehemu walioko nje ya nchi wanakosa ada. Hao wajomba hawawatumii ada.



NB: usije kusema nimetumwa na hiyo familia ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii familia kiboko , mbona hao Bibi na babu hawana aibu hata kidogo
KIVIP? KWANZA HUYO MKE WA MAREHEMU MSUYA ANASHUTUMIWA KWA MAUJI YA KIKATILI YA BINTI YAO NA YUKO GEREZANI, HARAFU ETI AENDELEE KUWA MSIMAMIZI WA MIRATHI?
 
Hapo Ni Kesi ya kuua Wifi Ndo Mana typo Ndani Sio Mume .Rekebisha
Huna unalojua wewe...


Hiyo familia ya Msuya wana hela kabla ya Kifo Cha erasto ... Hata marehemu Erasto utajiri umetokana na Baba yake mzee Msuya .. Uliza uambiwe...

Hakuna sehemu inaonesha wazee wanahitaji hata 100.. Kama ipo weka hapa Mimi nikithibitisha nitakulipa gharama zako zote.. Na hata kile kikao kwa DC wazee waliongea wazi kuwa hawataki hata 100 ila wanahitaji usimamizi wa Mali uangaliwe upya ....



Usilolijua baada ya Kifo Cha Erasto familia ilimteua MKE wake kuwa msimamizi... Baada ya Huyo MKE kuwa mahabusu kwa tuhuma za kumuua mme wake aliteua Kaka zake wasimamie Mali, hapo ndipo wazee hawataki.... Wanataka wajukuu ndio wasimamie Mali... Huyo dogo anapewa maneno na wajomba ... Tafuta video zipo YouTube kwa Millard Ayo..





Halafu usichukulie poa hao wazee wametoka kupoteza watoto wao wawili kwa vifo vya kinyama ... Erasto kumiminiwa risasi na dada yake kuchinjwa kigamboni ...


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Mpaka Leo sielewi Yule Anete Msuya Mpaka akachinjwa kinyama vile aliingilia mirathi au Ni nini kisa cha kuchinjwa?Hii familia imeshajipoteza.Ni balaaa juu ya balaa tuwaweke Kwenye maombi
Hapa pagumu, hao wazazi hawana imani na mama wa hao watoto baada ya kugundulika kusuka raketi ya kumwua wifi yake ambaye ni dada wa marehemu. Baada ya tajiri Erasto Msuya kuuawa, jicho la wazazi wake ikawa huyo binti yao. Mke wa msuya akaona isiwe tabu dawa ni kuua huyo binti pia ili ajinafasi na wanawe. Katika mazingira hayo hao watu lazima wawe mahasimu wakubwa. Dunia ngumu sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia vizuri maelezo ya mjukuu.Ni kwamba Hata yeye Huyo Kelvin Bini alitaka kumuunganisha Kwenye Kesi ya mauaji ya shangazi yake.Bht nzuri akachomoka.Bibi ana lake moyoni .Hakuna upendo Hapo.Mali zinawatenganisha .Pia mke wa Msuya akimteua Kaka yake asimamie Baada ya kuwa Kwenye tatizo la Kesi.Na kugundua njama za kumpoteza .Na Watoto wameshasema upande wa Baba hawawapendi Tena Ndo Mana kila Mara wanafunguliwa Kesi Ili wakafie hela huko
Mkuu nchi hii ina sheria ya mirathi itafute uisome .. Imetaja watu wakurithi Mali za marehemu na hao Bibi na Babu baada ya Kifo Cha Mtoto wao Erasto walimteua MKE wake awe mrithi Bila shida yoyote ....



Issue imeanza baada ya Huyo mwanamke kuteua Kaka zake kusimamia Mali za marehemu !!! Sasa nikupe kazi na wewe Je, sheria ya mirathi inaruhusu Wajomba kusimamia Mali wakati watoto wapo ...
Kumbuka Huyo kijana unaemuona hapo sio mtoto pekee wa Erasto ... Erasto kaacha watoto wengi wengine wapo Canada masomoni ....



Kwa kifupi Bibi na Babu hawahitaji kusimamia Mali hata Jina la shauri lililofunguliwa mahakamani linaeleza hicho .. Wanachotaka wao ni Mali kutosimamiwa na Wajomba wakati watoto wapo ..








Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa marehemu msuya ameharibu sana kama ni kweli kaua..ata mm nngekua katika nafc ya bibi na babu nsingekubali mali isimamiwe na muuaji wa mwnng wa kike..kama kaua kweli mwanmke ni mnyama hastahili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hivyo .Dogo yupo vizuri sana.Unajua Kesi Ya Mama yake naye aliunganishwa wajomba Ndo wakampigania atoke .Nakwambia Mali hizo zitawapoteza Na akiyeuawa kigamboni Sio yeye tu ndugu wengine wa Msuya walishakoswakoswa Na Risasi Yaani Sijui anayehusika Ni Nani Na why kama Mali aliachiwa mke why Tena awaue?tujiulize Jamani.
Nachokiona wajomba wamechochea sana mgogoro, na dogo naye hatumii ajili yake kama kijana ambaye anajitambua ndo maana nahisi hiyo mirathi inamchanganya anajihisi atakuwa bilionea bila kutoka jasho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IPO hivi.Inasemekana Baada ya mke wa marehemu kuchaguliwa kuwa msimamizi wa Mali Alitengenezewa Kesi(WiFi yake alipouawa naye akaingizwa(Hapa panda utata sana)Sasa bibi akaenda mahakamani Tena kudai WiFi(mkwewe)Aondolewe Kwenye mirathi kwa kuwa ana Kesi ya mauaji(kumbuka bado hukumu)INA maana Hapo kuna siri nyingi zimejificha .Tusiusemee moyo.Tu subiri mahakama.Ndo Mana yule mke wa Erasto Baada ya kuona ana Kesi ngumu vile akamteua kaka yake aisimamie.Ili akipona Kesi aje aendeleee.But bibi ana uhakika Kesi Huyo Mama kachomoi.Ndo anataka atolewe waww wao.Kifupi kuna utata sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe , sheria ya mirathi iko wazi Hakuna sehemu Bibi na Babu wanaweza rithi na inaonekana unapenda sana mambo ya "Inasemekana" ...


Erasto kaacha dada wengine wawili ambao ni mashangazi wa hao watoto kwanini hawajataka wao ndio wasimamie Mali !!!....



Nimekwambia nenda kwa Millard Ayo Kuna full interview ya hii issue kwa pande zote akiwepo DC muro ...


Unajua wabongo tuwe tunaacha story za vijiweni ... Hivi unajua kikao Cha familia wakiwemo hao wazee ndio walimchagua Huyo MKE wa Erasto ndio awe mrithi ??? .. Sasa Kama wangekuwa na Nia ya kusimamia hizo Mali si mgogoro ungeanza kuanzia vikao vya kutafuta msimamizi ... Tena ukiangalia hiyo interview kwa Millard Ayo wanasema vikao vya kugawana Mali za marehemu na kutafuta msimamizi vilienda kwa utukivu ...


Halafu unaposema eti hukumu haijatoka hao Bibi na Babu hawapaswi kufungua kesi ya usimamizi wa mirathi , kwani Huyo MKE wa Erasto kitendo alichofanya Cha kuweka Kaka zake kusimamia Mali za mme wake kwani ameshahukumiwa ????



Hao Bibi na Babu walitumia busara ya kawaida sana Tena Sana kuwa kwasababu msimamizi Yuko mahabusu atafutwe msimamizi mwingine....


Sasa nikuulize swali na Unijibu please "Ni sahihi wajomba kusimamia Mali za marehemu wakati watoto wapo ?"""

NAOMBA UNIJIBU Hilo Swali bila kuwa biased...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe Hakuna sehemu Bibi na Babu wasmesema wanataka kuwa wasimamizi...


Kama una huo ushahidi weka hapa. Mgawanyo wa Mali ulishafanyika Bibi na Babu waliondoka na zaidi ya milion 200 , wadogo zake Erasto wote waliondoka na si chini ya milion 100... Na kikao Cha familia kikamteua mke awe ndio msimamizi wa mali


Issue iliyopo ni kuhusu kusimamia mali baada ya Msimamizi mkuu kuwa mahabusu kwa kumuua wifi Yake ambae Ni mtoto wa hao wazee ,aliuwa kigamboni kwa kuchinjwa...


Huyo mwanamke baada ya kuwa gerezani amewateua Kaka zake kusimamia Mali bila hao wazee kujua... Hapo ndipo wazee wanapinga kivipi Mali za marehemu mtoto wao zisimamiwe na Wajomba wakati watoto wapo ...



Ila sio kweli eti wazee wanahitaji usimamizi sio kweli na unajitafutia dhambi za bure kusambaza uongo... Nimekuwa nafuatilia kesi za hii familia kuanzia alivyouawa Marehemu Erasto Msuya Mpaka Kesi za Kifo Cha dada Yake na mpaka leo kwa haya yanayojiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole mwanewane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia vizuri maelezo ya mjukuu.Ni kwamba Hata yeye Huyo Kelvin Bini alitaka kumuunganisha Kwenye Kesi ya mauaji ya shangazi yake.Bht nzuri akachomoka.Bibi ana lake moyoni .Hakuna upendo Hapo.Mali zinawatenganisha .Pia mke wa Msuya akimteua Kaka yake asimamie Baada ya kuwa Kwenye tatizo la Kesi.Na kugundua njama za kumpoteza .Na Watoto wameshasema upande wa Baba hawawapendi Tena Ndo Mana kila Mara wanafunguliwa Kesi Ili wakafie hela huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Bibi katoka kupoteza watoto wake wawili kwa vifo vya kinyama .. Mmoja kauawa kwa kumiminiwa makumi ya risasi na mwingine amechinjwa Kibada-Kigamboni ....
Usichukulie ni rahisi Kama mzazi kuweza kuhumili haya mambo ... Najua kwa wazazi watanielewa Tena ukizingatia haya matukio yakitokea kwa kufuatana....



Mtu yoyote unaweza kuwa suspected hata Kama Ni mjukuu... Kama mke wa marehemu amekuwa suspected inashindwaje kwa mtoto ... Huku tuiachie mahakama itatoa haki yake... Halafu umefuatilia hii kesi ilikofika na unajua kinachojiri ??? .. Usipende kuandika mkuu ....




Suala lingine ambalo labda hujui Erasto hajaacha Huyo mtoto pekee , Kuna watoto wako kenya na canada (Kimasomo)...



Hata Kama Ni wewe Kama mzazi usingekubali Tena muombe Mungu akuepushe na hii Hali ... Huyo Erasto amefanywa kuwa Billionaire na Baba yake (Ambae Ni Babu) , mzee alimpa mpaka mgodi huko Mirerani ... Erasto akawa tajiri na Mali zote Huyo Babu akawa mshauri wake .... Leo mtoto wake amefariki Kama familia wanamchagua MKE wake awe msimamizi...


MKE anaenda Jela .... Mke anateua Kaka zake wasimamie Mali .... Mali Bibi na Babu wanaona wajomba wanazifuja mpaka watoto wanakosa Ada ...



Bibi na Babu wanaenda mahakamani kufungua kesi ya usimamizi wa Mali za mwanao kwa ajili ya wajukuu....


Sijui umeona mtiririko huu... Yote haya yako YouTube kikao Chao chidi DC MURO ...



Hakuna sehemu wazee walisema wanataka Mali Hakuna ... Kama ipo weka hapa na ukifanikiwa kuiweka mimi nitajitoa Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom