J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Wakuu,asanteni kwa wanaoendelea kuniombea,
Biashara yetu imefungwa kuanzia leo,mpaka hapo haki itakapotendeka,
Jasho la mtu hailiwi kirahisi hivyo.
Note: hakuna udungu,wala urafiki kwenye money,na usimwamini mtu yeyote,hata ndugu yako yuko tayari kukutoa roho kisa money.