KESI dhidi ya MBUNGE wa MTWARA MJINI Hasnein MURJI YAFUTWA

KESI dhidi ya MBUNGE wa MTWARA MJINI Hasnein MURJI YAFUTWA

Criminal charges are very tough for Republic to handle in court
 
KESI YA MURJI YAFUTWA: Mahakama mjini Mtwara imemfutia kesi ya uchochezi mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji. Kesi dhidi ya makada wa CUF yaahirishwa hadi Septemba 2.
source Vodacom/mwananchi news alert

hii kesi ilikua inahusu nini hasa?
 
Matokeo ya safari ya Usaliti wa Lipumba Ikulu, soon utasikia wanasifia JWTZ na kuhamasisha ujenzi wa mabomba
 
Tunasubiri na yakina kileo nayo inafutwa lini?mmmmh Iddi Simba saa hizi antesa na Land cruiser v8 aliyonunua baada ya kuuza uda bado na Mramba naye akitoka India inafutwa hii ndiyo mahakama huru ya ccm
 
KESI YA MURJI YAFUTWA: Mahakama mjini Mtwara imemfutia kesi ya uchochezi mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji. Kesi dhidi ya makada wa CUF yaahirishwa hadi Septemba 2.
source Vodacom/mwananchi news alert

Haya yalitarajiwa. Hakuna mtu anayeshitakiwa kwa kusema maoni yake au kuonyesha msimamo wake ambao hauvunji sharia yoyote!
 
KESI YA MURJI YAFUTWA: Mahakama mjini Mtwara imemfutia kesi ya uchochezi mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji. Kesi dhidi ya makada wa CUF yaahirishwa hadi Septemba 2.
source Vodacom/mwananchi news alert

Kesi hizi zitaendelea kufutwa kwa sababu ya kikiukwa na serikali ya chama cha mapinduzi kwa msingi ya kikatiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 145(1)kinasema:madhumuni ya kuwepo serikali ya mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi.Na vyombo vya serikali za mitaa vitakuwa na haki na mamlaka ya kushiriki kuwashirikisha wananchi katika mipango na shughuli za utekelezaji wa maedeleo katika sehemu zao na nchini kote kwa jumla.wanamtwara kutaka kujuwa maendeleo yao kwanza na hatuwa inayofuata ndiyo ya nchi kwa jumla ni kutokana na muungozo huu wa katiba ya watanzania ambayo serikali haitaki kuijali angalia maeneo ya migodi ambayo serikali imewapa wawekezaji au kuendesha yenyewe,kama Shinyanga,Tabora Mara na kwigineko sehemu hizi wananchi wamekuwa wadau wa kubwa wa kulilia maendeleo,kauli ya waziri wa mambo ya ndani mhe Nhimbi katika kongamano la amani nchini kwamba lazima gesi itoke Mtwara silugha ya mwanademokrasi na serikali inatakiwa ijifudishe kama haijifundishi kupitia dalili za nyakati mwaka 2015 simbali.
 
​

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara imemfutia shtaka la kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM)Hasnein Murji .


Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa upande wa utetezi, Peter Kibatala kuiomba mahakama kuifuta kesi hiyo iliposomwa Julai 3, mwaka huu kwa madai ya kuwa hati ya mashtaka ni dhaifu kisheria na haionyeshi ni makosa yapi mtuhumiwa aliyotenda.




Wakili Kibatala alieleza mahakama kuwa kifungu cha 129 na 132 cha sheria ya mwenendo wa makosa jinai ni lazima mshtakiwa aelezwe mashtaka yake wazi wazi yanayomkabili.




Murji alifikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo akikabiliwa na kesi ya uchochezi anayodaiwa kuifanya Januari 19,mwaka huu katika eneo la Ligula mkoani hapa.




Hakimu Mkazi Mfawidhi Dynes Lyimo alifuta shtaka hilo na kumwachia mshtakiwa huru baada ya kesi hiyo kuahirishwa tangu Julai 3,mwaka huu.


Wakati huo huo viongozi wa upinzani Katani Ahmed Katani (33) na Saidi Kulaga (45) wa CUF wanaokabiliwa na mashtaka matatu ya kula njama, kufanya uchochezi na kuamsha hisia mbaya kwa wakazi wa Jamhuri wamefikishwa mahakamani. "NAPENDA KUNYONYA ( I LOVE SU**KING )"...HUDDAH
 
Back
Top Bottom