Kesi dhidi ya katiba mpya mahakama kuu

Tulijaribu sana kulinda kura mwaka jana lakni unajionea yaliyotokea'kumbuka tume ya uchaguzi ndio walewale'tungetumia nguvu ya maandamano na migomo'hakuna njia nyingine'kuchelewa kwetu kufikiri kutatupeleka kubaya

Tatizo migomo na maandamano wanaoathirika ni innocent civilians..wakati bigwigs wanakula bata.
Unakumbuka ya Mbowe na Chadema pale NMC arusha?
 
Kesi hii itakuwa kama ile ya Mgombea Binafsi!

...yaani kwenye ile kesi kwa kweli mahakama ilituweza watanzania..
Yani ilikwepa jukumu lake la msingi (kutoa haki,ibara ya 107A) hivi hivi!
 
Wishful thinking mahakama sio huru kwa undani,hiyo kesi imeshindwa hata kabla ya kupelekwa mahakamani,wataleta zengwe tu.
 
Yaani kutoa elimu ya ktiba kwa wasiojua ni kosa kisheria, DU!!!! hii kali. Haya TOPICAL NA DADA YAKO FAIZAFOXY nk, mmeisikia serikali ya JK, niwasikie mnatoa elimu ya katiba MISIKITINI KWENU nawashitaki kwa kosa la kuelimisha umma kuhusu katiba, te! TE! heeee aaaaaaaaaaahhh. THIS IS TZ
 
Yaah hiyo ni section 22 ya hiyo sheria
 
Huku kote ni kutaka kuchelewesha upatikanaji wa Katiba mpya na ni vyema suala hili lisiachwe hivi hivi, tunahitaji kusonga mbele na hatua zinazofuata tusikubali kurudi nyuma na wanaojiita wanasheria.
 
Sight is not what you see but by what eye you see..apparently partisan politics have blurred your brain sight such that you can neither see the apparent shortfalls of the whole process nor reason in the realm of justice..
Or worse,you‘ve just decided to.
 
ahaa.....ahhaaaa......watanzania bwana,mnanichekesha sana yaani kesi ya kumpinga jk kwenye hizi mahakama zetu,any way let us wait and c
 
wacha woga!!! Kumbuka Mtikila alishinda kesi dhidi ya serikali juu ya Mgombea binafsi.!! Kwenda mahakamani ni uamuzi sahihi.!!
 
Tatizo migomo na maandamano wanaoathirika ni innocent civilians..wakati bigwigs wanakula bata.
Unakumbuka ya Mbowe na Chadema pale NMC arusha?

Mkuu utakuwa umechanganywa na propaganda za ccm kwamba wanaoadhirika ni ni wananchi wa kawaida. Umesahau yaliyowakuta Mh. Lucy Owenya na Josephine kwenye maandamano ya Arusha!? Umesahau kichapo alichopewa Mh. Lema ofisi za jiji Arusha!? Kesi za kipuuzi za wabunge wa upinzani akiwemo Magdalena sakaya wa cuf!? Kwa ufupi ni kwamba wanaoadhirika ni wote wapenda mabadiliko!
 
Nimekusoma ila ulipaswa kutumia neno kuathirika sio kuadhirika..
Pamoja na hayo mie kinaniuma sana mbowe kudisappear pale Arusha kwenye mkesha ule wa Lema!
 
Mkuu kumbuka Jk alivyosaini ule mswada kwa mbwembwe. sasa we unadhani mahakimu wanaweza kutoa maamuzi sahihi na huru bila mkono wake? they must be remotely controlled!
Tatizo la JK na wapambe wake (CCM) ni kuwajibika kwa masuala muhimu kwa taifa kishabiki mithili ya Yanga na Simba. JK hakuwa na sababu za kumharakisha kusaini muswada wa kijinga ule bila kwanza kuketi na Serious advisors na kutafakari ushauri wao. Hata wabunge na spika wao walioupitisha muswada ule hawakuiweka Tanzania mbele bali matumbo na maslahi yao. Haiingii akilini kuona muswada uliojaa contradictions nyingi na uliochomekewa vipengele vinavyokinzana ukapitishwa na wabunge "Kwa kishindo" kama wasingepoteza muda kufikiri kishabiki na kuamua pumba. Shame unto them!
I remain very optimistic for the case to be decided against the government should any serious lawyer take the government to task. Labda wachakachue kama walivyofanya bila aibu kwenye kesi ya mgombea binafsi.
 
Sasa suala limefikia patamu, na kama kutakuwa na wanasheria mahiri ni dhahiri serikali itaumbuka vilivyo kwa kuwatumia wabunge wake wa upande mmoja kupitisha mkataba baada ya kuzawadiwa ongezeko la posho kwa siku kufikia 200000 kiholela bial kufuata utaratibu.

Busara iliyotumiwa na Vyama vya upinzani kumfuata Kikwete Ikulu na kumshauri, lakini Kikwete ameshindwa kutumia mwanya huo na badala yaka akakomaa ngangari kana kwamba ni maazimio ya CCM badala ya kuweka utaifa mbele, na kama mahakama itafanya haki kuna dalili nyingi tu zinye kuonyesha udhaifu wa hali ya juu kuhusu sheira hiyo.
 
Huku kote ni kutaka kuchelewesha upatikanaji wa Katiba mpya na ni vyema suala hili lisiachwe hivi hivi, tunahitaji kusonga mbele na hatua zinazofuata tusikubali kurudi nyuma na wanaojiita wanasheria.

Ni heri kudai haki kisha ukaipata hata kama kwa kuchelewa kuliko kuikosa kwa kuacha kuidai kwa hofu ya kufanyiwa zengwe! Huo ni ujinga unaosababishwa na woga na kukata tamaa! Na hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa!!!?
 
Nikikumbuka jinsi mahakama ilivyokwepa wajibu wake kwenye suala la mgombea binafsi nakosa matumaini kabisa.The same failed procedure to give the positive result?!
 
Sasa suala limefikia patamu, na kama kutakuwa na wanasheria mahiri ni dhahiri serikali itaumbuka vilivyo kwa kuwatumia wabunge wake wa upande mmoja kupitisha mkataba baada ya kuzawadiwa ongezeko la posho kwa siku kufikia 200000 kiholela bial kufuata utaratibu.

Busara iliyotumiwa na Vyama vya upinzani kumfuata Kikwete Ikulu na kumshauri, lakini Kikwete ameshindwa kutumia mwanya huo na badala yaka akakomaa ngangari kana kwamba ni maazimio ya CCM badala ya kuweka utaifa mbele, na kama mahakama itafanya haki kuna dalili nyingi tu zinye kuonyesha udhaifu wa hali ya juu kuhusu sheira hiyo.

I am sure kesi itapangiwa mawakili wa kali..Tanganyika law society ndio chama cha mawakili wenyewe so wanajuana nani ni mkali katika kesi za namna hiyo.

So far Mwananchi wameandika kamati ina watu nane na baada ya hapo watateua mawakili wa tatu kushughulikia hiyo kesi.
 
Back
Top Bottom