Kesi aliyo wahi kushinda Riz1 Mahakamani

Hiyo akili militegemea aipate wapi iwapo baba yake naye kilaza? Huenda angeipata kwa mama yake, lakini nani amjua mama yake iwapo baba yake ni bingwa wa okotaokota na chomachoma? Mtoto wa nyoka ni nyoka. Huoni anavyowekeza kwenye kujichekeshachekesha akidhani atakubalika kama baba yake aliyetumia kicheko kuficha umbumbumbu wake na kuwaingiza mkenge wadanganyika.
Riz1 hana cha kuweza kufanya kama mwanasheria zaidi ya kujipatia shahada ya kubebwa kama Saif Gadaffi. Angekuwa amesoma sheria na kuielewa vilivyo asingetishia kushitaki waliomtuhumu ubilionea halafu akaishia kufyata nkia.
 
Back
Top Bottom