Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 77
Viungo vingine ni vya nani mkuu!mmh!! yangu macho
kilaza atashindaje?
Alishinda kwa sababu hakimu alikuwa baba yake.mmepoteza kumbukumbu nyie, ile kesi ya Umri wa Masauni-Mwenyekiti UVCCM mmesahau Riz alipiga jungu pale? Ndio ushindi wake!
Anza wewe kwa kutueleza kesi moja tu aliyowahi kushindwa otherwise na wewe pia unataka kudesa majibu kwetu. BTW, watu wengi wa aina yako wanadhani kazi pekee ya wakili ni kwenda mahakamani kutetea jambo:FYI IMMA wanapata mpunga mwingi kutokana na kazi nyingine kama kusimamia viapo, will, urithi na ufilisi. Acha akili mgando.Young Bilionea wa zama zetu riz1 ni mwanasheria kwenye kampuni ya watoto wa vigogo IMMA Advocates,kuna tetesi kuwa tangu ameanza kazi ya uwakili hakuna hata kesi moja aliyo wahi kuisimamia na kushinda. Nadhani hii inatokana na kudesa alipokuwa chuo.. Plz kama kuna mtu yeyote anajua kesi yoyote iliyo wahi kuwakilishwa na wakili riz1 atujuze tuone huyu Jakaya jr nae alivyo kilaza kama msure wake!
we mwenyewe si ajabu la7 ulifeli ukaokolewa na pesa za mdingi wako kwenda privatekilaza atashindaje?
hapa mimi mgeni ndo mnaniacha hoi kilaza ndio nini???kilaza atashindaje?