Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.
Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.
Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
We ulisoma wapi?? au ndio Makamba ktk utetezi wa chama. Watu wanadai haki yao wewe unasema siasa!!Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.
Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.
Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
mkuu unatutisha sie majirani zakotahadhari kwa police. msiwaue na hawa. kuna mtoto wangu pale na yeye ndo atakua mstari wa mbele. akifa tu na we jirani yangu nakumaliza. nimetoka jana rwanda nimesheheni mzigo wa kutosha tu.
Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.
Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.
Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
Hivi unadata zozote zinazoonesha kuwa hao uliowataja kama wengi wenyeuwezo wa kuwalipia watoto wao hiyo 1.6m ni asilimia ngapi ya jamii ya watanzania?Kwa mtazamo wangu hasi ni kuwa huna mchango wowote kwa wasomi wachanga wa kitanganyika kutokana na mtazamo wako finyu kuwa kwa kusitishwa kwa huduma ya mikopo toka bodi basi matatizo ya wanafunzi yataisha.Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.
Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.
Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
lakini mbona udsm inaonekana mnashida sana tena zaidi ya udom na mlikuwa mmelidhika na huu udhalimu. Ata mgomo wenu ausikiki kwenye vyombo vya habari inaonekana mmfanya mgomo baridi. Kama vp tumieni ata ukongwe wenu make haki aiji mpaka kwa ncha ya upanga ndg zangu.Nilishajua kuwa hili litatokea