Kesho tutoke kwa wingi sana!!

Kesho tutoke kwa wingi sana!!

Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?

Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu

Maandamano ni haki yetu kikatiba

Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Safari

Uombe dua Sana urudi Salama kama mara yakwanza
 
Nipo na Wanangu 17 na tunatoka wote, wewe je?

Naomba kesho tutoke kwa wingi sana, tutokeni kwa wingi sana ndugu zangu

Maandamano ni haki yetu kikatiba

Kama nilivyotoka tarehe 29 kesho nitatoka!!
Mapema kabisa asubuhi tumeshajaa. Uelekeo ikulu
 
Back
Top Bottom