Kesho tukusanyike kwa uwingi Ufipa

Kesho tukusanyike kwa uwingi Ufipa

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake
 
"EL Ulipo tupo"
 
Attachments

  • 1438197704458.jpg
    1438197704458.jpg
    47.7 KB · Views: 936
  • 1438197723224.jpg
    1438197723224.jpg
    45.9 KB · Views: 875
Kesho ntaacha shughuli zangu zote naenda Ufipa kumsindikiza Rais, Lwaigwanan mkuu, Nguli wa siasa za bongo, Mtu kipenzi cha watanzania, Mzee wa maamuzi magumu
 
Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake
Mjikusanye kwa wingi kutokea kasesya,usevya na labels, wamasai watawaletea panya wengi sana huko na hata paka mkitaka kama kitoweo.
 
Tuko pamoja .saisi wanamageuzi yakweli mzee wakazi MH.sana sana.ngoyai .raisi rais iwe isiwe raisi.
 
SAA mbili asubuhi nitakuwa Kinondoni, nimeshaomba one day unpaid leave kwa boss wangu
 
Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake

Natamani umma utakaokuwepo uimbe nyimbo za kuhamasisha amani, umoja na mshikamano
 
Back
Top Bottom