Kesho tarehe 22-11-2016 Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema atafikishwa mahakamani

Wakuu salaam!
Nimepitapita humu ni waone wafuasi wa yule mahabusu wa kisiasa uchwara kama wanamkumbuka.Mahabusu wa matusi na kujidai ni siasa wenzake wamemsahau wanasubiri siku za mahakamni tu wahamashishane.Mwenzenu kesho yupo kizibani kesho kamuoneni,na siku hizi hafungi tena anakula kama kawa!
tunaangamia kwa kukosa maarifa" ...haijaandikwa kwamba 'tunaangamia kwa kukosa nguvu au silaha'.
 
Nifundishe jaman jins ya kuandka sub topic maana mada zangu znakataa kuingia kwenye page
 
Sasa naona imetosha, kama ni dozi amepata ya kutosha huko mahabusu. Mwisho ataingia mahakamani amelowa, wampe dhamana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom