Kesho tarehe 22-11-2016 Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema atafikishwa mahakamani

Sijui hiyo timu iliyoamua kuzuia dhamana pamoja na hakimu kuirithia inatathimini vipi 'mafanikio' yao katika hili!
 
Hamasisha Watu waje washinde hapo siku nzima alafu jioni warudi nyumbani huku wanalalama pesa ngumu.
 
Aluta Continua Victory Ascerta..daima giza halikuwahi na halitiwahi kushinda NURU sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Tuko pamoja sana makamanda wote
 
Hakim atakuwa ameshapigwa mikwala na mzizi ulioenda chini zaidi,ccm mwachieni Lema yeye hajawazuia msijenge viwanda wala yeye hajazuia msiwape watoto pesa za chuo kikuu.wala hajazuia ccm wasiendelee kuua tembo wetu
 
Wakuu salaam!
Nimepitapita humu ni waone wafuasi wa yule mahabusu wa kisiasa uchwara kama wanamkumbuka.Mahabusu wa matusi na kujidai ni siasa wenzake wamemsahau wanasubiri siku za mahakamni tu wahamashishane.Mwenzenu kesho yupo kizibani kesho kamuoneni,na siku hizi hafungi tena anakula kama kawa!
 
Kesho tarehe 22-11-2016 Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema atafikishwa mahakamani kutokea Mahabusu kisongo,wananchi tujitokeze kwa wingi kumtia Moyo Mbunge wetu.
Mjitokeze kwa wingi kushuhudia mwanaume anavyorudishwa rumande kishujaa!
 
Kamanda nadhan anatafutaga tu sababu ya kwenda kusikiliza matatizo ya wananchi wake nafikiri wale walio gerezani WaPo pia katika jimbo lake la uchaguzi..muda umefika mmbunge wetu aache siasa za majukwaan aje atakeleze ahadi alizotuhaidi.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom