Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
Hali ya usalama ni shwari kiujumla hapa tarime.
Ila naona kuna maganda ya ndizi yamezagaa sana.
Ubaridi kwa mbali umetawaliwa na hali ya ukungu.
Pembeni ya stand hapa kuna wauza togwa wengi.
Sijui we utatokea upande gani wa stand na utahitaji bhoke aje kukupokea??
CC; Excel mkurya mzungu.

Last edited by a moderator: