Kesho ninafunga ndoa natubu dhambi hii

Nitaoa sema nitachelewa sana kama mambo yenyewe ndiyo haya
 
mkuu mbona umenikoti mimi? me sijapata hiyo ya kihaya na siaki kujaribu
Na usijaribu maana ikitokea umeachana nae hutomsahau.
Eti huwa wanasema[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa wanawake hiyo hutokea sana.
 
Na usijaribu maana ikitokea umeachana nae hutomsahau.
Eti huwawanasema[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha haha bora umenionya mapema
 
Eliza umejiharibia ndoa bure, James yupo humu. Ungeniuliza ningekwambia
 
Ulikosea sana kwani ulishindwa kabisa kumshawishi huyo kijana ili yeye awe mwandani wako wa ndoa, Pole sana kwa hilo na hata hiyo ndoa unayofunga bado ina mashaka maana ikitokea yule kijana akatize tu mbele yako utashindwa uvumilivu.
 
Ni bora ungefunga ndoa na huyo mwanafunzi wako, kwa mujubu wa maelezo yako utachepuka tuuu.
 
Tupoooo
 
"Huyu mume naefunga nae ndoa ni vile tu maishani inabidi uolewe kwajili ya heshima mtaani"

Kwa sentence hiyo mumeo ajiandae kazi anayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…