Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
- Thread starter
- #41
usijenilia dem wangu maana hayo makabila mawil yamwisho nna was was
Sent using Jamii Forums mobile app


Usiwe na shaka mkuu we uko wapi kwani?Tunasubiri kwa hamu
Una wanawake wa3 wa kuwahonga, unajipiga ganji mwenyewe, kujinunulia hata supu ya 2000tsh unaona shida.
Watu watashangaa unakula madem zao baada ya kuona alama husika kwenye miguu.hakikisha dem hana alama yyte kwa mguu
Mkuu unajua chai na nini au umekalili kwamba supu ndio breakfast yenye gharama zaidi na ya maana kuliko zingine?Una wanawake wa3 wa kuwahonga, unajipiga ganji mwenyewe, kujinunulia hata supu ya 2000tsh unaona shida.
Aiseeee mkuuWatu watashangaa unakula madem zao baada ya kuona alama husika kwenye miguu.hakikisha dem hana alama yyte kwa mguu
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi



Kuona miguu ya michepuko wangu uwenda wakawa ni mademu zenu hukoTo stay tuned for what vile?!


Ndo uwe makin Mara paaa mlango unagogwa.
utakuwa kabila la yule jamaa wa B O TMimi ni made from Morogoro ila kwa sasa niko dodoma kwenye harakati za utafutaji wa maisha mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana una wasiwasi mno
Inaonekana una wasiwasi mno
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
Mkuu,huyo shorry wako wa kigogo ni mgogo wa Dom sehem gani?Mimi ni made from Morogoro ila kwa sasa niko dodoma kwenye harakati za utafutaji wa maisha mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app