Kesho ni siku ya Maandamano ya amani ya kupinga kuongezeka kwa bei ya maji Shinyanga

Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
754
131
Ndugu wanajf, napenda kuwataarifu ya kwamba, kesho kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na chadema mkoani shinyanga. Maandamano hayo ni kwa ajili ya kupinga ongezeko kubwa la bei ya maji linalotozwa na shuwasa mkoani shinyanga.
Wanajf wote mnaoishi shy mjini mnaobwa kushirik maandamano hayo yatakayoanzia eneo la ibinzamata na kuishi joshoni rubaga.
 
safi sana. Mafisadi wanatuibia kila kona, maji yenyewe ni ya ziwa victoria, ambayo Mungu ametupatia bure. Kwa nini watuuzie kwa bei mbaya!!!! Hakuna kulala mpaka kieleweka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nitakuwa nanyi kiroho japo kimwili niko mbali. Strongly nawasapoti
 
Nahisi tafadhari hata mgao wa umeme unaoendelea unahitaji kunji tena la uhakika na liwe nchi nzima siku mbili mfululizo
 
Aisee mi mwenyewe bi mkubwa anamaindi kweli hizi bei za maji hapa SHY ni hatari lazima tuandamane.
 
Nahisi tafadhari hata mgao wa umeme unaoendelea unahitaji kunji tena la uhakika na liwe nchi nzima siku mbili mfululizo
 
ungeenda kuwataarifu shinyanga maana wao ndio inawahusu ili wajitokeze wengi
 
Back
Top Bottom