Unaijua miradi ya Chama cha Mapinduzi.Mna ofisi hata moja tu ya chama chenu mliyojenga kwa hizo hela za ruzuku? Kama ni hizo zilizopo, karibia zote zilijengwa na Nyerere na Mwinyi kwa kodi za Watanzania wote enzi za mfumo wa chama kimoja..
Mradi halali wa CCM ni mmoja tu: Bendi ya TOT! Ukija kwenye majengo, yote ni ya serikali. Viwanja vya michezo, vyote ni mali ya Watanzania wote! Shule zote zilikua ni za Watanzania wote enzi za mfumo wa chama kimoja!Unaijua miradi ya Chama cha Mapinduzi.
CCM ni moja ya vyama vyenye mafanikio kiuchumi ndani ya Africa...
Kuna umuhimu wa kutofautisha kati ya maneno haya mawili; WATU na MISUKULE. Ukiweza tu kutofautisha, basi utakua umeshapata jibu sahihi.Ungejua watu wanavyompenda Rais wao kipenzi JPM, usinge andika utopolo huu. Kila mkoa, Magufuli anauhakika kushinda kuanzia udiwani, ubunge, kwenye urais ndio kabisaaa. Sioni nafasi ya genge la wahuni wa saccos ya Mbowe kushinda.
Watanzania tujitokeze kwa wingi tukamuadhibu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Mipango yake ya kulazimisha ionekane kuwa anapendwa sana haikufanikiwa. 28/10 tummalizeView attachment 1613558
Rais wa nchi ambae ni mgombea anapotamka maneno haya
Eti hii nayo ni ofisi ya Lissu ,picha ya logo hivyo vidole viwili vimekaa kama sigara kali.Hayo matatizo yote yanaenda kutatuliwa na J.P. Magufuli pekee.
Hawa wenyewe hawana sera ya maendeleo na baadhi ya sera zao matusi tu. Tutawapumzisha waendelee na:
1.ujenzi wa ofisi zao(kuondoa aibu ya kumiliki ofisi kama mabanda ya nguruwe).
2.Wajifunze namna ya kutumia ruzuku.
3,Pia wajipange katika uchaguzi ujao na kutafuta viongozi bora. Huku wakiacha maswala ya kulia lia kwa kila jambo.
We ulitaka asemeje?View attachment 1613558
Rais wa nchi ambae ni mgombea anapotamka maneno haya
Aongelee uhuru, haki na maendeleo ya watuWe ulitaka asemeje?