mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,040
Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha penati, na chochote kingine!! Nina uhakika watapambana nje ya uwanja na ndani ya uwanja ili maadam tu watoboe!!