Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Sema Kilimanjaro itasimama siyo nchi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakaa mtatoka na matusi hakuna ufanisi wowote hapo mwambie nasari habari take imekwisha jimbo linaondoka hana jipya kama anajiamini aende akatetee aone kama wananchi bado polojo zake kama zile aliwadanganya et visima kwa ya sabodo sijui zilishia wapi sasa akatete jimbo kama ujeuri anao

Sent using Jamii Forums mobile app
 


labda kishindo kikuu mtaa wa ufipa yaani watanzania zaidi ya milioni 50 wasimamishwe na wachumia tumbo wazee wa ufipa
 
Mkuu Pascal, nakushukuru kwa maoni haya.

Kwanza niende kwenye point kuu, Chadema kuungana na ACT,

Hilo ni jambo la kimchakato na chadema kama taasisi kubwa haiwezi kukurupuka ni lazima ikae chini kwakutumia wataalamu wake, itapokea ushauri na kisha maamuzi, kuungana ni dhana pana, lakini kubwa mnaungana na nani, ana nini, utafaidika nini na utapoteza nini... Hayo ni ya kitaalamu sio ya kulala na kuamka tu kisha useme tunaungana...hivyo ndoto hizo usiziote mkuu wangu
 
Wanahaha tu hawa
 
huu utawala sio wa kutolea press relies baada vikao vya ndani bila kuingia barabaran ni kazi bure..mbowe anataka afanyiwe nn ili kuidhhirishia dunia kwamba ana mtaji wa watu? vyama viungane viingie barabarani tutaelewana vizur
 
Saccos ! Mama yako ni mwanacha wa mikopo n.a. malejesho huko?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasomeka kuwa unaipenda hali yako ya UTUMWA.
 
huu utawala sio wa kutolea press relies baada vikao vya ndani bila kuingia barabaran ni kazi bure..mbowe anataka afanyiwe nn ili kuidhhirishia dunia kwamba ana mtaji wa watu? vyama viungane viingie barabarani tutaelewana vizur
Logic i support this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…