amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
mpe somo huyu binti naona ananihadhirisha mtu mzima huku jamvini...
wanaume wanaolala na kyupi wapo Somalia huko enetaimu kukimbia vita....
kisiwa cha amani Bongo uanze tu kuvaa boksa, kwani kitandani ni swimming pool eboh!
ha ha watu8 na Asprin mnanichekesha sana mhhh mimi sina pichu nyie hamuna pichu tumelala kha wanaume wenyewe nyie wa kibongo mhhhhh
mpaka asubuhi ikifika kwenye uke umeota sugu
aiseee ndo maana nasema pichu muhimu for self defence
Last edited by a moderator: