Kesho navuta jiko rasmi!!

Kesho navuta jiko rasmi!!

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
1,655
Reaction score
746
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!
 
Last edited by a moderator:
uuuuwi!!kaka jitahidi kulitunza hilo jiko,langu limechafuka kwa mchuzi na masizi hadi halisafishiki tena!!!
 
Hongera sana!

Ndoa na itunzwe na watu wote!
 
Hongera kamanda kwa kufikia malengo yako,nakutakia heri na baraka tele katika maisha yako ya ndoa, Mola awatangulie na kuwaongoza katika kila jambo lenu,haya mambo ya jf,hasa chichat,ni masikhara tu,ndoa yako ichukulie seriously,no cheating,full kuwajibika.
 
uuuuwi!!kaka jitahidi kulitunza hilo jiko,langu limechafuka kwa mchuzi na masizi hadi halisafishiki tena!!!

Usikate tamaa Zamaulid, paka rangi nyeupe isochujuka, (fanya sala)! BTW Ni upepo tu, utapita!
 
Last edited by a moderator:
Karibu kwenye ulimwengu wa walala bila kyupi
 
Bishanga kamaliza kila kitu... Zingatia hayo,nami nimepitia maisha hayo.. kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Hongera kamanda kwa kufikia malengo yako,nakutakia heri na baraka tele katika maisha yako ya ndoa, Mola awatangulie na kuwaongoza katika kila jambo lenu,haya mambo ya jf,hasa chichat,ni masikhara tu,ndoa yako ichukulie seriously,no cheating,full kuwajibika.

Umesema yote Mkuu. Kazi ni kwake!
 
Kila la heri Chilli .
Heshima,Upendo,Furaha vikatawale maisha yenu mapya mtakayoyaanza leo!!
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri kaka ila kuwa makini na make sure umefanya uchaguzi sahihi
 
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!

Big up kijana, karibu katika ulimwengu wa majukumu na kujitambua
 
Last edited by a moderator:
Hongera Chilli, ukishamweka ndani fanya haraka ajiunge Jf afu mwambie aniPM
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom