Kesho navuta jiko rasmi!!

Kesho navuta jiko rasmi!!

Hongera kamanda kwa kufikia malengo yako,nakutakia heri na baraka tele katika maisha yako ya ndoa, Mola awatangulie na kuwaongoza katika kila jambo lenu,haya mambo ya jf,hasa chichat,ni masikhara tu,ndoa yako ichukulie seriously,no cheating,full kuwajibika.

"Kondoo alievaa ngozi ya chui Bishanga."
Ytafikiri unayosema unayafanya wakati ndoa yako inatembelea Lim.
 
Last edited by a moderator:
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!

Hongera Sana Chilli kwa kufunga Ndoa.
Ningekuwa karibu Ningekuwa Matron wa mkeo.
Ila tukumbukane siku moja moja Chilli.
Copy kwa Bishanga, Baba V, Mungi na Arushaone Mtulie na wake zenu
 
Last edited by a moderator:
Yananihuu.......Babu weeeeeeee
Msiwafuje wake zenu.
Siku tukiacha kuwapa uroda ndo mtakoma.
na wewe Bishanga Ungekuwa mume wangu wewe,
Ningekuwa Nishakuweka Kwenye Chupa Siku nyiiiiiingi.
Kwa taarifa yako bishanga ni gesi asilia,naingia popote na kumchupa sienei.
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako bishanga ni gesi asilia,naingia popote na kumchupa sienei.

Heheeeeee........Haloooooooooooo Bishanga gani!!!!
Wewe usiyejaa mkononi mwangu??????????

Kwani ugomvi wetu bado unaendelea??????
Kwa kuwa nimemkataa Mdogo wako Ruttashobolwa???
Khabari ndo hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!

Hongera sana.....
 
Last edited by a moderator:
Kwako: Chili

Kwa furaha zote na heshima kubwa napenda kutoa salamu zangu za pongezi kwa hatua moja ya muhimu na ya msingi katika maisha ya mwanadamu, Chilli tulikuwa wote pamoja chitchat na amekuwa mchango mkubwa katika mafanikio ya chitchat.napenda kutoa salamu za pongezi kwa niaba ya wana CC na JF kwa ujumla,maandiko yanasema mmoja atakimbiza elfu wawili watakimbiza makumi elfu,naamini katika ndoa yako ukishaanza maisha mapya utaenda hatua mbele zaidi ya uliyopo kwa kuwa imeandikwa apataye mke apata kitu chema na apata kibali kutoka kwa bwana.
Nakutakia kila la kheri.
chitchat family.
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri mdogo wangu Chilli

Maisha ya ndoa si magumu au mzigo kama wengi wanayofikiri. Mpende mkeo, mheshimu, msikilize, mridhishe na mpendezeshe.... Hutomkinai na hutojuta kumuoa.

Niko ndani ya ndoa kwa miaka 12 sasa. Nilioa kabla sijainusa wala kuikaribia miaka 30 na sijawahi kujuta kuoa ila najilaumu kwanini sikuoa mapema zaidi.

Sasa basi kama ikabidi yale mambo yakatokea basi yafanye kwa umakini na kwa usiri mkubwa. Hapaswi kujua.....(shiiiiiiii)

Mungu akuongoze katika njia zako. Amina
 
Last edited by a moderator:
Karibu kwenye ulimwengu wa walala bila kyupi

sasa naamini hujaoa
kwa taarifa yako mwanaume halali bila kyupi!!
Embu fikiria kitu cha ghafla kikitokea wewe kama baba mwenye nyumba mpaka uvae si leo
aisee jando inahitajika hapa
 
kwenye harusi yangu lazima uje na nitakupa chance ya kuongea hayo maneno umwambie mwanaume mwenzio
halafu nimesahau kumbe hata mchumba sina looo
 
Last edited by a moderator:
kwenye harusi yangu lazima uje na nitakupa chance ya kuongea hayo maneno umwambie mwanaume mwenzio
halafu nimesahau kumbe hata mchumba sina looo

Usisahau: Mjukuu ni mchumba na muke ya babu.

Come this way amu.
 
Last edited by a moderator:
sasa naamini hujaoa
kwa taarifa yako mwanaume halali bila kyupi!!
Embu fikiria kitu cha ghafla kikitokea wewe kama baba mwenye nyumba mpaka uvae si leo
aisee jando inahitajika hapa

Mpenzi wangu amu sikiliza na unielewe...... Mwanaume alalaye na mkewe akiwa kavaa chupi basi ujue huyo mwanaume si rizki.

Mwanaume wa kweli halali na mkewe akiwa kavaa kyupi.
 
wewe wasema....
 
Mpenzi wangu amu sikiliza na unielewe...... Mwanaume alalaye na mkewe akiwa kavaa chupi basi ujue huyo mwanaume si rizki.

Mwanaume wa kweli halali na mkewe akiwa kavaa kyupi.

mpe somo huyu binti naona ananihadhirisha mtu mzima huku jamvini...
wanaume wanaolala na kyupi wapo Somalia huko enetaimu kukimbia vita....
kisiwa cha amani Bongo uanze tu kuvaa boksa, kwani kitandani ni swimming pool eboh!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom