Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

Janjawid

Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
93
Reaction score
185
Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo.

1. Awamu ya kwanza watanzania wote tulikuwa ni CCM ila sikuwa na umuhimu wa kujiunga na chama kwani ilikuwa ni moja kwa moja Mimi ni chama hicho japo sikuwahi kushugulika na mambo ya kisiasa hivyo hakukuwa na ulazima kujinasibu kuwa CCM.

2. Awamu zilizopita kuacha ya baba wa Taifa kila moja ilikuwa na maudhi yake kuanzia kwa mzee mwinyi hadi kwa mwendazake, kila Awamu ilikuwa na jambo baya ambalo halikunifurahisha hivyo kushindwa kujinasibisha na CCM.

3. Awamu hii ya Sita inamchanganyiko wa mambo mengi bora kutoka karibu kwa kila Awamu kuanzia Baba wa Taifa hadi Awamu ya Mwendazake hivyo nadhani ni muda muafaka kukitumukia chama hiki na serikali take.

4. Nahisi Nina uwezo mkubwa wakusaidia nchi kuliko watu wengi wenye dhamana ndañi ya chama.

5. Naona kuna kila dalili ya utawala wa sheria kuchukua mkondo wake kitu nilichokuwa nikitamani siku nyingi kwa nchi yangu hivyo kesho nitaongea na waandishi wa habari.

Asanteni na usiku mwema.
 
Hakuna utawala utakaokosa baya mkuu, japo mama Samia ana mwezi mmoja Kama rais angalau.
 
Mapema mno kumsifia mama. Bado hajapata Misukosuko ya kibabe. Hata mwanzoni Magu alipewa kila sifa ya dunia hii. Lakini alivyoanza kupigwa na mawimbi km Tetemeko la Kagera, Corona, Uchaguzi , n.k hapo ndipo baadhi ya watu walipoanza kumkataa.
 
It's too early my friend sema it's a good sign though.

You seem aged enough to understand what I mean.

On a lighter note, cherish however little is before you for as long as it lasts
Au wanasema

"Nothing in the world is permanent, and we’re foolish when we ask anything to last, but surely we’re still more foolish not to take delight in it while we have it" au wanakuambia

" That's the funny thing about life. We're rarely aware of the bullets we dodge. The just-misses. The almost-never-happeneds. We spend so much time worrying about how the future is going to play out and not nearly enough time admiring the precious perfection of the present""
 
Mapema mno kumsifia mama.Bado hajapata Misukosuko ya kibabe. Hata mwanzoni Magu alipewa kila sifa ya dunia hii.Lakini alivyoanza kupigwa na mawimbi km Tetemeko la Kagera,Corona,Uchaguzi,n.k hapo ndipo baadhi ya watu walipoanza kumkataa.
Juzi alisema yeye na magufuli ni wamoja, mmmhhhh!!! Wamoja?!
 
Usingekuwa kwenye jukwaa hili.
Kupenda siasa na kuwa mwanachama wa chama cha siasa nahisi ni vitu viwili tofauti japo vinataka kuelekeana. Hlikadhalika kuwapo kwenye jukwaa hili siyo uthibisho wa kupenda siasa
 
.
20210420_064617.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mapema mno kumsifia mama. Bado hajapata Misukosuko ya kibabe. Hata mwanzoni Magu alipewa kila sifa ya dunia hii. Lakini alivyoanza kupigwa na mawimbi km Tetemeko la Kagera, Corona, Uchaguzi , n.k hapo ndipo baadhi ya watu walipoanza kumkataa.
Ila kiongoz,wasemao husema"dalili ya ushehe ni kilemba"
 
CCM ni chama cha wizi wa kura, uzembe na ufisadi, siku hiki chama cha mabeberu weusi kikifa ndio Tanzania itaendelea
 
Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo.

1. Awamu ya kwanza watanzania wote tulikuwa ni CCM ila sikuwa na umuhimu wa kujiunga na chama kwani ilikuwa ni moja kwa moja Mimi ni chama hicho japo sikuwahi kushugulika na mambo ya kisiasa hivyo hakukuwa na ulazima kujinasibu kuwa CCM.

2. Awamu zilizopita kuacha ya baba wa Taifa kila moja ilikuwa na maudhi yake kuanzia kwa mzee mwinyi hadi kwa mwendazake, kila Awamu ilikuwa na jambo baya ambalo halikunifurahisha hivyo kushindwa kujinasibisha na CCM.

3. Awamu hii ya Sita inamchanganyiko wa mambo mengi bora kutoka karibu kwa kila Awamu kuanzia Baba wa Taifa hadi Awamu ya Mwendazake hivyo nadhani ni muda muafaka kukitumukia chama hiki na serikali take.

4. Nahisi Nina uwezo mkubwa wakusaidia nchi kuliko watu wengi wenye dhamana ndañi ya chama.

5. Naona kuna kila dalili ya utawala wa sheria kuchukua mkondo wake kitu nilichokuwa nikitamani siku nyingi kwa nchi yangu hivyo kesho nitaongea na waandishi wa habari.

Asanteni na usiku mwema.
Ni mapema mno ku-judge tulia.Ingawa ni kweli Rais wa sita "anaonekana" kuwa somehow atabeba mazuri ya awamu zote.
 
Back
Top Bottom