Kesho naenda kupima UKIMWI. Naombeni ushauri na maoni yenu wadau

Ukimwi ni kama jini yaani usipolitambua halina madhara ila ukishalijua Basi lazma litake kukumaliza ndio maana unaona watu kabla ya kujijua alikuwa poa tu baada ya kujijua anaanza kukonda mawazo mengi hachukui raundi anavuta
Hapo kinacho muua ni hayo ma ARV, ndio maana nayapinga.
 
Ukishapima Mara moja utakuwa umehama hatua ya kutokujijali.Mi ninapima Mara 4 kwa mwaka.kuna mchepuko kamiahidi tunda 2021 kavukavu, tumepanga kwenda kupima ili ni dadavue alichoniahidi.
Mhhh, yani we ubandui mpaka upime?
Hii sasa kali.
 
Ukipima ukimwi ukakutwa negative furaha yake huwa haielezeki, huku ukiapa hautafanya tena ngono zembe.....lkn haipiti
Muda booom!! umeshafanya tena.
Ndio maana me nilikua napinga kupima kwa mambo kama hayo!
Najua hata nikipima hawanipi kinga dhidi ya huo upungufu wa kinga mwilini.
Maana yake hapo nitakua kila siku naenda kupima tu.

Natamani hata nimwaambie aitoe hii mimba maana naona inaenda kuvunja ndoa tu.
 
Mhhh, yani we ubandui mpaka upime?
Hii sasa kali.
Ndio wa kwanza Huyo nataka nile kavu sitaki kurudia makosa ya zamani ya kubahatisha.Sasa hivi Nina familia na watoto Nikila bila kupima ni hatari,isitoshe kutumia mipira inaniumiza sana halafu nachelewa kucheuwa hata kuridi Mara ya pili inakuwa ishu hivyo nataka niishi kwa staili ya kupima kwa kila mchepuko ataenipa tunda.
 
Ndio maana me nilikua napinga kupima kwa mambo kama hayo!
Najua hata nikipima hawanipi kinga dhidi ya huo upungufu wa kinga mwilini.
Maana yake hapo nitakua kila siku naenda kupima tu.

Natamani hata nimwaambie aitoe hii mimba maana naona inaenda kuvunja ndoa tu.
Mkuu uliwahi pigsma demu alieungua mini ? Mbona unawasiwasi sana .Kupima ni Afya has a kama ulizunguka sana na Malaya.
 
Kwa mara ya kwanza katika uhai wangu, kesho naenda kupima ukimwi.

Sio kwa hiyari yangu, bali ni mifumo ya kidunia imenibana.
Sijui nani alie weka ushauri wa kupima UKIMWI kwa lazima kwa mama mjamzito?
Mbaya zaidi si mama mjamzito pekee, bali wanataka na mumewe pia.

Mimi na mke wangu tayari tuna watoto wawili, lakini katika mimba zote hizo sijawahi kuhudhuria kwenye zoezi la kupima ukimwi.

Mtoto wa kwanza kazaliwa 2014 kipindi hicho nadhani hakukua na ulazima kwa mke na mume kwenda kupima (nazungumzia kwa Mocambique)

Mtoto wa pili kazaliwa 2017, hapa nilikua mbali na mkewangu (nilimuacha na ujauzito wa miezi 5) hivyo mkewangu aliongopa kua mumewe kafa, kwa mbinde sana wakamsaidia.

Ila trip hii wamekataa mpaka tumeamua kwenda hospital ya wilaya nyingine.

Mkewangu ana ujauzito wa miezi 4 tatizo ujauzito wake unamzingua, hivyo kila alipo kwenda hospital walimwambia aanze klinik, hivyo utaratibu ni kwenda na mumewe.

Ni mwezi sasa nimekua nikipiga chenga, lakini namuonea huruma mwenzangu mimba inamsumbua, hivyo nimeamua KUJILIPUA liwalo na liwe, kesho asubuhi sana nawahi hospital, kupima UKIMWI.

Pressure ipo juu, naomba nisikutwe na moto, nikikutwa nao itakua balaaa.
Nitamuambiaje mama mwenyewe ?
(mkewangu)

NB: Siogopi ukimwi (siamini kama ukimwi unaambukiza) ninacho hofia, mkewangu nitamuacha na majonzi sana.

Uamuzi wangu ni hivi, kama nitakutwa na ukimwi alafu mwenzangu hana (sintaogopa) nitamuuliza anaamua vipi?
Tunaachana ama tunasonga mbele?

Ikiwaka wote hatutakutwa na ukimwi nitafurahi kinoma (sinto ifananisha hiyo furaha)

Balaaa ikiwa wote tutakutwa na Moto/ Shati la maua maua (ukimwi) hapo sasa itakua balaaa, maana mwenzangu atapagawa sana, Kitendo kitacho niachia majonzi moyoni.

Nimejipanga, hata niambiwe nina moto sintakula ARV ng'o!
Yani siri ARV hata kwa Risasi ya moto kichwani.

Mwisho, ,,,,,,, USHAURI NA MAONI yenye busara vina hitajika.
Dah, pole sana mkuu, tuombee Man United ashinde leo ili kesho iwe rahisi kwako kwenda kupima.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pole. Mm kama sitaki kupima sipimi ntatumia hata fedha nlizonazo kuhakikisha hilo.
Wewe sasa umenishaur, ngoja nimpange mama mwenyewe, kama vipi kesho aende na pesa tu.

Inabidi kesho nizushe safar ya uzushi ili nikiepuke hichi kikombe.
 
Wewe sasa umenishaur, ngoja nimpange mama mwenyewe, kama vipi kesho aende na pesa tu.

Inabidi kesho nizushe safar ya uzushi ili nikiepuke hichi kikombe.
We mpe pesa ya kutosha usimwambie ni ya nn, mwambie tu nenda clinic ya maana mm nina safari nikiwahi ntajumuika na wewe. Wanawake wana akili mingi tu.
 
Na ukikumbuka starehe na anasa za machimbo daaah, kabla haujapima unakuwa fresh tu ila ukipima tu majanga yanaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom