nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
hizi msg zinazosambaa kuwa ksho na keshokutwa watalipua zinaniogopesha kweli ...ksho nina vipindi na presentation chuo lakini sivuki na pantoni ng"o ...degree kitu gan bwana ukiwa kaburini...najaribu kuwaza kwa sauti

Hiyo ya watu kukamatwa nami nmeisikia,watu wa arusha tujuzeni kilichojiri
ndugu nimepata msg kwenye whatsapp group kuwa majambazi wamekamatwa wakiingia chuo cha uhasibu wakiwa na bunduki 4 na risasi 160 ni kweli???Acha kabisa, hapa arusha tupo na wasi wasi sana
Wana jf kuna watu wanataka kuleta madhara kwenye mikusanyikohizi msg zinazosambaa kuwa ksho na keshokutwa watalipua zinaniogopesha kweli ...ksho nina vipindi na presentation chuo lakini sivuki na pantoni ng"o ...degree kitu gan bwana ukiwa kaburini...najaribu kuwaza kwa sauti
jamani anaejua basi herufi za kuruani atufundishe,tukikutana nao wakitupa aya tuweze kusoma,hizo alif,bee,tee,see mwalim kavaa msurupwetee!!
jamani anaejua basi herufi za kuruani atufundishe,tukikutana nao wakitupa aya tuweze kusoma,hizo alif,bee,tee,see mwalim kavaa msurupwetee!!