Kesho na keshokutwa kuna usalama kweli?

Kesho na keshokutwa kuna usalama kweli?

hizi msg zinazosambaa kuwa ksho na keshokutwa watalipua zinaniogopesha kweli ...ksho nina vipindi na presentation chuo lakini sivuki na pantoni ng"o ...degree kitu gan bwana ukiwa kaburini...najaribu kuwaza kwa sauti

Sure.. Maana kilichotokea SAUT Mwanza leo c mchezo. Aliingia kijana mmoja ktk darasa ambalo c lake... Kakaa nyuma ya darasa na akawa anafungua begi lake, watu kuona hvyo na hawamjui wakatmua mbio balaa. Wengine wamevunjika miguu na meno saa hz wapo Bugando.. Yaan kumetuliaaa kla mtu yupo hostek saa hz anaskilizia kitaanzia wap kunuka. Shiddaah yan hofu kila kona yan
 
hizi msg zinazosambaa kuwa ksho na keshokutwa watalipua zinaniogopesha kweli ...ksho nina vipindi na presentation chuo lakini sivuki na pantoni ng"o ...degree kitu gan bwana ukiwa kaburini...najaribu kuwaza kwa sauti

Mkuu naomba usitafsiri tena kiingereza kwenda kiswahili neno kwa neno. ''Kuwaza kwa sauti'' ndio kuwazaje? --''Thinking out loud''????
 
Back
Top Bottom