Ninachofahamu hili la Sikukuu inayoangukia Jumapili na mapumziko kusogezwa siku inayofuata lilishafutwa, kama ndiyo hivyo basi kesho ni siku ya kuwajibika ila ni vizuri kutafuta uthibitisho wa hili.

Tanzania Uchumi mbovu bado mnataka kupumzika. Fanya Kazi kwa Bidii Acha kufikiri kuhusu mapumziko!
Nchi zilizoendelea, zilikuwa hivyo baada ya watu kuwa na bidii ya kazi..eg.china, Japan