tunataka mikataba,na suala la kusoma kila baada ya miaka mitatu hatutaki ni wizi na unyonyaji'basi na madaktali wakasome pia kila baada miaka mitatu.na walimu nao wakasome kila ufaulu unapokuwa duni
Tuwasiliane kesho naelekea Moshi kupitia 0786020579.Wakuu nitafutien abiria watatu ubungo tu moshi kesho natoka saa 2 asbh
safi sana madereva,maana kuna mijitu inafikiri yenyewe ni mungu mtu
Mbona kama ume_type mwenyewe na kui_print!, maana haioneshi kama imeandikwa na nani hata kuweka sahihi kuaminisha jamii kweli ni official announcement.
Mbona kama ume_type mwenyewe na kui_print!, maana haioneshi kama imeandikwa na nani hata kuweka sahihi kuaminisha jamii kweli ni official announcement.
Wanaogopa segerea, kutolewa meno, nk.