chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia

Wenye Serekali ni Chadema? Tanua ubongo kabla ujafungua mdomochadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
Ndugu mgomo huu ni wa madeleva na sio wamiliki wa mabasi, Mrutu anazungumza kwa niaba ya wamiliki.
UP DATESTeamMayweather holaaaaaa.
Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wote, pikipiki to magari makubwa,umoja umoja wa madereva umeeleza makubaliano walio anzimia na serikari ubungo siku ya mgomo wa kwanza yamepuuzwa.
Basi the daladala user's ni busara kuamka mapema, kwani mgomo uanza mara nyingi saa 12.
Pia serikari ni busara kaangalia namna ya kuzima malalamiko kila kona, mgongo huu unamdhara mengi sanaa kwa wananchi.
#TMT .
UP DATES
.....
nakala ya barua au kipeperushi ?!!
Natamani wagome mtihani uhairishwe chuoniππ
Natamani wagome mtihani uhairishwe chuoniππ
chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
tunataka mikataba,na suala la kusoma kila baada ya miaka mitatu hatutaki ni wizi na unyonyaji'basi na madaktali wakasome pia kila baada miaka mitatu.na walimu nao wakasome kila ufaulu unapokuwa duni