Kesho Lazima niondoke Tanga

Niliwahi kubisha sana kuhusu Tanga.
Lakini siku niliyoenda, nikafuta kauli yangu.
 

Kama zimelowekwa unakaa halafu mchana zikikauka tu mbio!!!!!!!!!!
 

acheni kuzuga watu tanga wala sio kihivyo....sana sana kumejaa dada poa wavaa baibui tu wanaoletwa hotelini kwa oda kama wewe ni mtu wa madada poa ndio utasifia otherwise hamna jipya....biashara ya mwili iko juu sana sema wao hawakai barabarani kama dar ukihitaji unaletewa tu na baibui zake.
 
wasiwasi wangu kama una familia...basi wanakula nyasi
 
Tanga umefika Lasca? Umekwenda majani mapana?, umefika kwa mzee juma wa kumbui kwenye Baikoko? Au umeishia ndani tu?
 
Niliwahi kubisha sana kuhusu Tanga.
Lakini siku niliyoenda, nikafuta kauli yangu.

mkuu ule mji wa ajabu sana, hata mimi nilikuwa nabisha hasa nimewahi kwenda kabla nikarudi bila kuona kitu, nikasema kumbe hadithi za bure kumbe sikuwa nimeliona chimbo.
 
Tanga umefika Lasca? Umekwenda majani mapana?, umefika kwa mzee juma wa kumbui kwenye Baikoko? Au umeishia ndani tu?

mkuu kusema ukweli nilikaa nje siku ya kwanza tu, baada ya hapo nipo ndani tu.
 
nauli huna utaondoka vip

nguo zimelowekwa umefungwa msuli or kanga?

tulia hapo umefika kuogeshwa,kulishwa,na kubembwa maisha ndo hayo

miss tattoo ....umejaa tattoo mwili mzima nini.
 
Kama zimelowekwa unakaa halafu mchana zikikauka tu mbio!!!!!!!!!!

mkuu sina uhakika kama zinaanikwa, maana muda wote zimelowana na mimi naogopa kuuliza kama zinaanikwa, kinachoniogopesha hata sikijui, sijui dawa?
 
Tanga kiboko niliapa kutorudi huko niliena pale majani mapana bana nikampata mtanga mmoja daaaah hatari asubuhi tu supu ya samaki na chapati za ukweli maji ya moto ya kuoga jamani tanga raha,,,, nilikaa siku tisa wakati safari ilikuwa ya siku tatu! Angalia sana usiishiwe Nauli huko balaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…