Kesho ni mapumziko ametangaza Dr Shein
Huu upuuzi sana yamerudi yale ya Mwinyi enzi zile Shein anasema eti kesho watu wajipongeze, wiki nzima watu hawajafanya kazi Zanzibar walikuwa busy na kuandaa sherehe hlf leo unatangaza kesho pumziko.
By the way sisi tunahusika nn na Zanzibar mpaka tusifanye kazi kesho?
Ningekuwa na kampuni binafsi kesho ningefukuza watu kazi.
You get it wrong Sir!Kama kusoma huwezi angalia picha
You get it wrong Sir!
sasa wewe licdm si uendelee kufanya kazi kwa key board yako?
Nchi zinazoendelea wananchi wake wanapenda kupumzika pamoja na starehe.Kiuchumi siku ya mapumziko ya kujitakia ni hasara.Just thinking aloud.
Sijafurahia jambo hili.
Khaa!!! Hebu andika vizuri basi ueleweke. Unatoa taarifa? Unalalamika? Unalialia au umelewa??
That's why I said You get it wrong. Kesho ni mapumziko kusindikiza miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Jnne ni mapumziko ya Maulid. Jtano ndio makazini Mkuu. Imetangazwa huko Zenj muda mfupi uliopita na Dr Shein na kisha JK karidhia hilo kuwepo mapumziko na bara pia hiyo Jtatu ya kesho. Hope sasa umeelewaWrong? Kama kesho mapumziko, leo maulid yanasomwa wapi?
Hii habari ni ya Zanzibar tuu au na tz bara???/