Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
wanajukwaa kama tuivyoahidiwa na vipngozi wetu kesho january 10 2016 ndo mabasi ya mwendo kasi yanaanza kufanya kazi? je ni kweli yanaaza kazi? na vp nauli halisi ni zipi?
Ulimuamini????
KWA AHADI ZA KILA MTU ANASEMA KUSUHU MABASI HAYO TUTEGEMEE MWAKANI YATAANZA
hatujui kama tayari au la?Hizo tiket washatengeneza?
Ulimsikiliza PM vizuri kweli ama ndo ile kukurupuka?Nchi hii mnaijua mnajifanya mnasahau
SIASA NDO INAYOHARIBU TAIFA
hayaanzi mpk kielewekewanajukwaa kama tuivyoahidiwa na vipngozi wetu kesho january 10 2016 ndo mabasi ya mwendo kasi yanaanza kufanya kazi? je ni kweli yanaaza kazi? na vp nauli halisi ni zipi?