House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,214
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake
Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa
Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....
Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji
Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe
Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%
Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake
Kesho Ccm tunajambo letu, twendeni tukalimalize
Siku nchi ikichafuka ujue hutapona, kuna watu mnafikiri mnafanya vema, kumbe mioyo ni ya kishetani. Umekalia ushabiki wa kipumbavu. Shabikia simba na Yanga, siasa achana nayo maana ina umwagaji wa damu. Mjinga sana wewe