Kesho 24/11 wanaccm wanaenda kufanya historia

Kesho 24/11 wanaccm wanaenda kufanya historia

Huo ni uzushi na uongo

Waliojitoa wameogopa kushindwa

Unajua maana ya uzushi ewe nyang'au?
Aliyeogopa kushindwa ni CCM na ndiyo maana akaanzisha figisu figisu za kuengua wagombea toka upande wa Upinzani.
Hili mbona liko wazi kabisa!! CCM walijua kama Uchaguzi ungelifanyika kwenye mazingira Huru na Haki CCM wangeliangukia pua pamoja na tambo za kujisifia kuwa Magufuli kafanya mambo makubwa...!! Watu wameandikishwa kwa lazima bila ya kujali taratibu za kikanuni na kisheria....!!Uchafuzi wa kesho tutegemee CCM wakija na Data za kupika kuwadanganya Watz na dunia kuwa wameshinda kwa kishindo which is not...!!!
 
Utamchapa nani wakat unagombania mwenyewe? Vijana akili zetu sisi tunaziweka wapi? Nini hatma ya taifa hili kwa vijana wanaopokea buku 7 na kushindwa kujali maslahi ya taifa
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake

Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa

Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....

Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji

Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe

Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%

Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake

Kesho Ccm tunajambo letu, twendeni tukalimalize
 
Historia ya kwenda kupiga bomu mochwari kisha mtambe mumeua, nguruwe nyie.
 
Hivi unaweza ukashindana wewe mwenyewe na ukajisifu umeshinda? Ccm inaenda kumshinda nani wakati ipo yenyewe?

Fahamu kuwa, hakuna chenye mwanzo lisilo na mwisho, na Mungu ni wetu sote, ni suala la muda tu
 
Umeandika vitu vya uongo na uzandiki kwa faida ya nani?
Hivi unaweza ukashindana wewe mwenyewe na ukajisifu umeshinda? Ccm inaenda kumshinda nani wakati ipo yenyewe?

Fahamu kuwa, hakuna chenye mwanzo lisilo na mwisho, na Mungu ni wetu sote, ni suala la muda tu
 
TANGAZO: siku akili zangu zikishuka mpaka kufikia hata therusi zaakili zamtoa mada basi nipigwe risasi hadharani nife
 
huna akili, kama ulikua ujui kwa sasa teuzi zimeisha mpaka hapo baada ya uchaguzi
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake

Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa

Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....

Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji

Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe

Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%

Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake

Kesho Ccm tunajambo letu, twendeni tukalimalize
 
[emoji30][emoji30][emoji30]
masoudkipanya_B5J9Fv8l2M3.jpeg
 
Wewe mlishwa unga wa ndere na rangi yenu ya embe bichi
 
Back
Top Bottom