kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Mkuu kuondoa ukoo wao hawa kaziPole sana, amka sasa uende church ukirudi ufanye usafi naona mgeni kaacha kunguni kitandani.
Huwajui kunguni ww balaa lakeAcha kunguni na wenyewe wafurahie Maisha kdg Maisha yenyewe mafupi na magumu
Ila wakiingia kwenye kitanda cha mbao nasikia hawatoki kirahisiKitu kidogo tu hicho babu, safisha geto maisha yaendelee, bila shaka nawe ulishawahi kuwa mgeni kwa watu kabla ya kuishi geto, tena mgeni wa kudumu bora huyo kaja na kusepa kaacha kunguni tu.
Tumia dawa ya kupulizaMkuu kuondoa ukoo wao hawa kazi
Nunua dawa puliza hadi kwenye kona za kitanda, wataisha....siku nyingine atakuja mgeni atakaa miezi 6 afu kila siku anachafua choo na maji yapo.Ila wakiingia kwenye kitanda cha mbao nasikia hawatoki kirahisi
Hii ya mbu au kuna dawa zake?Nunua dawa puliza hadi kwenye kona za kitanda, wataisha....siku nyingine atakuja mgeni atakaa miezi 6 afu kila siku anachafua choo na maji yapo.
Pole mkubwa
Ya mbu?Tumia dawa ya kupuliza
Kuna dawa zake , wale wanatembeaga njiani na vipaza sauti dawa ya mende, panya kunguni kama unaishi uswazi utawaona, kama ni wa kishua nenda maduka ya madawa ya mifugo.Hii ya mbu au kuna dawa zake?
Wadau
Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara unashangaa wamekuachia kunguni wakisepa Dah kichwa kinauma sana uanze kukabiliana nao
Ha ha ha! Ila na wewe kwa nini umwachie kunguni!!? Nadhani ndicho kilichomkelaKwahiyo bro kupangisha tu hako ka chumba na sebule tayari umeshaanza kutuona sisi wageni wako ni kero? Umesahau juzi juzi tu ulikua unalala sebleni kwa shemeji yako tena unatandikiwa godoro chini..? Sawa bana... hatutakuja tena kwako broo.....
Kunguni kwani mi niliwabeba makusudi mkuu? Mimi kwanza kunguni wangu wala sio wakali mwenyewe nimeshawazoea hata hua sijui kama ninaoHa ha ha! Ila na wewe kwa nini umwachie kunguni!!? Nadhani ndicho kilichomkela
Ha ha ha tatizo mnakuja na kunguni kuwaondoa kunguni kazi wakishatagaKwahiyo bro kupangisha tu hako ka chumba na sebule tayari umeshaanza kutuona sisi wageni wako ni kero? Umesahau juzi juzi tu ulikua unalala sebleni kwa shemeji yako tena unatandikiwa godoro chini..? Sawa bana... hatutakuja tena kwako broo.....
Dah umewazoea,ila mimi usiku wananisumbua sana mpka nahamia sebuleni nalala chiniKunguni kwani mi niliwabeba makusudi mkuu? Mimi kwanza kunguni wangu wala sio wakali mwenyewe nimeshawazoea hata hua sijui kama ninao
Duu hatariNgoja siku mgeni ajinyee kitandani ndo utajua hujui
... Alafu kunguni ni mboga bwashee, we kamata ukaange... Unaeza kusindikiza na ugali, viazi au ndizi