Kero za status

Mi ni mwezi ujao ndiyo nimeona sehemu ya kuangalizia status. Sijaona chochote cha maana. Ni kama instagram ndani ya wasap.
 
Naweza kumaliza miez hata mitatu sijaweka status ila kazi yangu ni kuangalia za wengine maisha haya siyo ya kuwa serious sana muda mwngne inabidi uangalie tu hata upuuzi.
ila wale wanaopost had ile cycle inakua nukta kibao wale wanajua kukera aise Kuna mmoja had nili mute nisione maana yule aligeuka mshauri wa mapenzi wakati hana hata mume
 
Unaonekana unakapepo kachafu mtoa mada, maana kama mpaka vifungu vya bible hutaki shida nn.!?

Badilisha mtizamo wa maisha yako, jifunze kimvumilia mtu awaye yeyote.!
 
Ni upuuzi mtupu kukerwa na mambo ya mitandaoni, kwanza kuingia tu mitandaoni ni shughuli pevu. Ajabu mtua anaingia kwa hiari yake mwenyewe anakutana na mambo ya huko anaanza kulalamika, shame on her/him.
 
Wewe na waandika status akili moja.
 
Simu ni yako chukua uamuzi wa kumute

watu ninao angalia status zao hawazidi kumi
 
Status haina ulazima wa kufanya ukereke ni kiherere chako kinakupelekaga uko kuangalia, tafuta kazi ya kufanya.
Mzee kuna vitu vya msingi unaweza kuviona status,,, mfano tangazo flan kutoka taasisi unayofanya ama unapoabudu inakutaka kitu fln n.k!
 
Hv umeelewa nilichoandika ? nAona unAmwaga upupu tu hapa! Kasome Tena andiko langu shwain
 
Wewe ndio una shida maana choice ya live style ya wengine inakusumbua. Mind your bussiness na watu ambao una number zao wa hovyo Mimi status za watu hupata mapya na ku enjoy
Nilivyoona avatar cjajusumbua kukujibu! Wewe Ni mdada pengine upo miongoni mwao
 
Wale wale tu
 
Wale wale tu
Mimi naview status zoote na napost pia. Kuna muda unatakiwa ufurahi na kucheka kidogo. Huwezi judge mtu eti kisa amepost memes labda kama ufahamu wako una tatizo kias flani. Anachopost mtu cha utani utani c kwamba et yy ni mpuuzi.
 
Binafsi sioni shida kwa wengine kuona wanafanya wanayoyafurahia as long as hawaingilii uhuru na privacy yangu..kwanza huwa sipost status na huwa siangaalii..nadhani ni vyema kufanya review ya watu ulionao kwenye contacts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…