Nyumba za kupanga Dar: Nachukia vyumba vya ndani ya nyumba na kukaa na mwenye nyumba

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nyumba za kupanga Dar: Nachukia vyumba vya ndani ya nyumba na kukaa na mwenye nyumba.

Hakuna kitu au kero kama hapa Dar nyumba za kupanga unakuta ni vyumba vipo ndani ya nyumba.

Nachukia sana hili jambo linakera yaani nyumba ina korido ndani humo kuna vyumba nakereka sana huwa hadi najiuliza mnaoishi mtindo huo wa vyumba vya ndani mnawezaje? Japo nishawahi kupanga mazingira kama hayo ila sikuweza kuvumilia miezi miwili tu nilihama nikaacha kodi yote.

Pia jambo la kukaa na mwenye nyumba ni upuuzi wa hali ya juu na mnajua wenye nyumba wenyewe ndio waswahili waswahili hivi ukifanya kila kitu wanajua kweli ni kero na joto la mkoa wetu mbona hii ni nusu ya kifo?
 
Nyumba ya aina iyo niliikuta kwa mshikaji wangu nilipofikia. Nimetoka mkoa ndio first time Dar. Mshikaji kaja nipokea nashangaa tunaingia ndani nikajua kwao baadae akaniambia amepanga.

Dah!! yaani ukikaa ndani piga kimya hafu hautoki toki maana hamchelewi kukutana na wenye house koridoni.
 
Kila mtu anatamani angekuwa na bungalow pembezoni ya ufukwe lakini hali ya maisha ndio inapanga mtu aishi vipi na wapi.

Ila mimi napenda siku nipange ile tunapangisha nyumba nzima watu wawili na partner wangu awe ni KE ila ambae hatufahamiani tuwe tuna share sebule na jiko chumba kila mtu chake.
 
Nyumba za kupanga Dar:Nachukia vyumba vya ndani ya nyumba na kukaa na mwenye nyumba

Hakuna kitu au kero kama hapa dar nyumba za kupanga unakuta ni vyumba vipo ndani ya nyumba

Nachukia sana hili jambo linakera yaani nyumba ina korido ndani humo kuna vyumba nakereka sana huwa hadi najiuliza mnaoishi mtindo huo wa vyumba vya ndani mnawezaje?Japo nishawahi kupanga mazingira kama hayo ila sikuweza kuvumilia miez miwili tu nilihama nikaacha kodi yote

Pia jambo la kukaa na mwenye nyumba ni upuuzi wa hali ya juu na mnajua wenye nyumba wenyewe ndo waswahili waswahili hivi ukifanya kila kitu wanajua kweli ni kero na joto la mkoa wetu mbona hii ni nusu ya kifo?
Pilipili iko shamba inakuwashia nini?
 
Aisee
Nyumba ya aina iyo niliikuta kwa mshikaji wangu nilipofikia. Nimetoka mkoa ndio first timer Dar. Mshikaji kaja nipokea nashangaa tunaingia ndani nikajua kwao baadae akaniambia amepanga. Dah. Yaani ukikaa ndani piga kimyaaa hafu hautoki toki maana hamchelewi kukutana na wenye house koridoni.
 
Kila mtu anatamani angekuwa na bungalow pembezoni ya ufukwe lakini hali ya maisha ndio inapanga mtu aishi vipi na wapi.

Ila mimi napenda siku nipange ile tunapangisha nyumba nzima watu wawili na partner wangu awe ni KE ila ambae hatufahamiani tuwe tuna share sebule na jiko chumba kila mtu chake.
Hahaha
 
Haya mambo nimeyakuta sana ulaya sema unaweza ku share na mtu hivyo alafu mkawa hata hamuongei yani mtu kukuchana kuwa sitaki shobo hashindwi
 
Nilisemaga ktk maisha yangu sitakaa vyumba sita(kutazamana usoni)naogopa sana maugomvi nashukuru sana Mungu ananipigania kwa kweli.Na kukaa na mwenye nyumba sijawahi
 
Haya mambo nimeyakuta sana ulaya sema unaweza ku share na mtu hivyo alafu mkawa hata hamuongei yani mtu kukuchana kuwa sitaki shobo hashindwi
Kiroho safi tu huwa natamani ku experience hiyo hali. Nikiona haifai si nakacha tuu!
 
Back
Top Bottom