mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kaka usije airtel mimi ninafungasha virago niondoke... huku hakuna la maana..Habari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.
Hahahaha duh pole mkuu...ila jitahidi usije tigoKaka usije airtel mimi ninafungasha virago niondoke... huku hakuna la maana..
Wew binti kaa kimya!! Nyambaf
Hapa nachati kwa maombi ya Gwajima. Jana usiku nilikua nadownload file la mb4 ila nilikaa apo mpaka sim ikazima chaji..Hahahaha duh pole mkuu...ila jitahidi usije tigo
Airtel ndiyo kabsaaaaa, wezi, kwenye page yao ya facebook wanapataga negative comments tu. Wezi kishenziKaka usije airtel mimi ninafungasha virago niondoke... huku hakuna la maana..
umeona mkuu eeh..mi bundle likisha xpire hawanion tena aisee..voda au halotelTigo ni washenzi tena wa ngozi..! Sasa ni muda muafaka kuwaacha wapuuzi hawa..!
Shame on you tigo.
kwan ww mwanachuo? huko ni kukimbia kuripa kodinikianza na hasa kuvishusha vifurushi pendwa kwetu vya chuo..nmewalaani sana...
wanaboa sana..yanTigo ni bashite
kwan ww mwanachuo? huko ni kukimbia kuripa kodi
hapana mkuj ila hii huduma ni kwa wote ndomana walitoa line kujiunga popote ingekuwa kwa wanachuo ingebak system yakujiunga chuo tu.kwan ww mwanachuo? huko ni kukimbia kuripa kodi
km wamefilisika waseme..wanyonyaji kbsaTgo ni mbwa koko hawafai kabisa kuwepo hawa nyumbu