Mkuu hawa jamaa hawwna hofu yw Mungu...ni wezi hatariNilijua peke yangu Hawa tigo wezi sana yani bundle linaisha kama maji hata matumizi hayaeleweki kabisa dk pia Hawa ni wakuwakimbia tu
Kibaya zaidi kilichonifanya nishtue hadi Meseji za kawaida zinaniishia wakati Mimi sio mtumiaji mkubwa wa Meseji apo ndo nilipoanza shtuka kuwa wanatuibia yani sitaki kabisa leo nahamia halotel huu upuuzi WAo nawaachiaMkuu hawa jamaa hawwna hofu yw Mungu...ni wezi hatari
Me nataka laini tutupe wengiUzuri kuna mitandao mingi so acheni kulalama, piga kimya tupa laini
Chukua vocha ya 1000 kisha piga *148*03*namba ya vocha# utakatwa 600 na kubaki 400. Hapa utapewa 1GB kwa 24hrs.
Me nataka laini tutupe wengi
nimekosea kidogo, ni *148*namba ya vocha*03#Ahsante mkuu umenifumbua soon niweke vocha
Wew binti kaa kimya!! NyambafHlf ili iweje?unalako jambo sio malalamiko pekeyake