Kero za kudate mume wa mtu

Mcheps hana AKILI...ulimwacha mkeo?kama hamjaachana kajikomesha mwenyewe
 
Mwanaume kaumbiwa kuzalisha,hayo mambo ya mke mmoja ni tamaduni za wazungu,mwafrika na asili yake ni ndoa za wake wengi,Anza na wanyama Hadi ndege,dume moja majike kumi,nipe hata Mimi nikuchakate japo nimeoa
Mi sijaongelea mitaala,Tulia,elegant mada.....kama unaona hata wake 10 hiyo ni mada nyingine
 
Nimerejea JF baada ya miaka 2 nilikuwa naingia mara chache kama mgeni, mwandiko huu kama WA kiume au ni uzee unaonisumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…