Kero za daladala

Hujaelewa mkuu inawezekana madereva n wastaarab ukimwambia punguza saut atapunguza ila sio abiria vichwa maji
maana yangu ni kwamba usidhani daladala nzima mwenye stress ni wewe tu, na kila mtu ana namna yake ya kujituliza sasa ukianza kumpangia abiria mwenzio cha kufanya usishangae akikuropokea kitu cha ajabu na hilo dereva halimuhusu muhimu ni kuvumiliana kwakua ndo usafiri wetu huo.
 
Kuna siku tulipanda daladala na RASTA ebhana Tulikuwa reggae [emoji445] mwanzo mwisho yaani RASTA haelewi full kurukaruka kwenye daladala Daaah nikiikumbuka hii siku sijui jamaa alishakula mjani [emoji54]
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 


Hatukatai ndo maana kuna headfones asikilize peke yake asiwe kesro kwa wengine...alietengeneza hfones hakua mpumbav boss
 
Bora makelele kuliko harufu za kwapa,na zile za mla kunde mmh
Ila nitafanyaje uwez wangu ndo unafikia hapo nashkr maana kuna wengine wanatembea kwa miguu kwa kukosa nauli

Kitaeleweka tyuuu humo humo ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…