Hizo kero zilikuwepo,zipo na zitaendelea kuwepo kwa sababu dala dala ni usafiri wa umma. Wale wanaokereka mara nyingi wanatumia yale magari madogo yenye namba ubavuni au ya kwao.
Hapana mkuu, hata kama ni usafiri wa umma na wa watu wengi, lazima kuwe na utaratibu na ustaarabu. Kila mtu akifungua radio kwa sauti itakuwaje.
Kushindwa kupanda taxi au kumiliki gari isiwe sababu ya kunyanyasika kupita kiasi.
USIJALI YATAISHAyan hizi people n kero asikwambie mtu
Si ukodi Tax au nunua gari yako kama utaki kero
Ni ustaarabu tu na si vinginevyo. Kulisema hadharani kama hivi ni moja ya njia ya kulitokomeza. Pole na hongera kwa kuweza kusema.Hapana mkuu, hata kama ni usafiri wa umma na wa watu wengi, lazima kuwe na utaratibu na ustaarabu. Kila mtu akifungua radio kwa sauti itakuwaje.
Kushindwa kupanda taxi au kumiliki gari isiwe sababu ya kunyanyasika kupita kiasi.
kama wewe unavokua umechoka na kuvurugwa unajipumzisha kwa kulala mwenzio kachoka zaidi na anapunguza mawazo kwa kusikiliza muziki, ndivyo ilivyo kwenye maroli yetu na dereva hii haimuhusu kabisa
Wapanda dala dala ni watu wa aina tofauti, kuna wasomi na wasiosoma, kuna wastaarabu na wasiostaarabika, kuna wabishi, watukutu, wapole, wasemaji sana na wengineo wengi. Vile vile kuna dhana kuwa hakuna anayekufahamu (anonimity) hivyo kuchangia uwepo wa tabia za ajabu. Elimu kwa haya makundi inaweza kusaidia ila changamoto ni nyingi.Hapana mkuu, hata kama ni usafiri wa umma na wa watu wengi, lazima kuwe na utaratibu na ustaarabu. Kila mtu akifungua radio kwa sauti itakuwaje.
Ni ustaarabu tu na si vinginevyo. Kulisema hadharani kama hivi ni moja ya njia ya kulitokomeza. Pole na hongera kwa kuweza kusema.