Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Nasikitika sana hali mbaya ya limbwi la uongozi linaloendelea ndani ya chuo cha usimamizi wa fedha katika hali ya kushangaza demokrasia ndani ya chuo kile amna na uongozi ww wanafunzi IFM SO aueleweki rais wa chuo maarufu kama mbogo ni mtu anayejali maslahi yake binafsi tangu kuingia madarakani ameshindwa kushughulikia matatizo muhimu kama vile uhaba wa sehemu za kujisomea hali inayowalazimu wanafunzi kujisomea barabarani hususani ocean road
La kushangaza na kushtua yeye na ifm so wapo kimya mawziri wake wamekosa ubunifu na ushawishi kwa mkuu wa chuo Bw mjema na committee nzima ya chuo
Hii ni aibu chuo akina hata libray ya kutosheleza watu 2000 wakati chuo kina takribani 15,000
By gilbert massawe