Ni kwel kinakera kila muda mbezi ubungo vingora jk alikua bize na anga
Acha wivu
Ni kwel kinakera kila muda mbezi ubungo vingora jk alikua bize na anga
Mleta mada muongo na mpuuzi mimi ni askari mtu hawezi simamishwa wakati msafala upo gairo jamaa muongo halafu mpuuzi.
Hilo Magu Kashindwa Kugundua Anazani Anapunguza Ghalama Kumbe Anaongeza Watu Wanawekwa Pembeni Masaa Matatu Huku Wamesimamisha Shughuri Zao Et Rais Anapita Upuuzi Mtupu
sasa atakuwa anaenda aje kwenye mikutano ya UN ambayo itafanyika outside East Africa?
Sinasikia jamaa kakatazwa kupanda ndege na madaktali.
Mkuu kitufe cha "like" sikioni lakini ningeku-like kwa kweli! Kuna li-pumbavu linajiita Simiyu Yetu (eti linajidai askari - askari mavi) eti linaniita mwongo, wakati watu tumekalishwa kwenye foleni saa nzima, sasa huyo mtu kama hakuwa Gairo alikuwa wapi? Hiyo speed ya msafara wa Rais unavyotimua mbio kutoka Morogoro utatumia dk ngapi kufika Chalinze? Huyu jamaa sijui kwa nini anapishana na kauli mbiu yake? Sasa kama ni 'Hapa kazi tu" tutafanya saa ngapi wakati umetugandisha kupisha msafara wako? Aache maigizo sasa imetosha, au anaona fahari kutanguliwa na ving'ora?USHAURI:
Kwa Rais JPM wakati umeagiza nchi iwe katika maboresho tofauti sehemu za kazi huku ktk jotuba yako ukitaka wananchi wajitume ktk kuwajibika ili kuongeza mapato yao.
Nakuomba kwa kuanzia endapo hakuna tashwishwi juu ya usalama na mengineyo, fanya liwezekanalo inunuliwe chopa/helicopter maalum kwako, hiyo ni kwa ajili ya kuzunguka nayo popote pale hapa nchini.
Kwa upande huo hii itasaidia kuwapunguzia wananchi usumbufu na muda ambao unapotumia gari mfano, labda ndiyo unajipanga kuingia ofcn na safari ni 03:00asbh huku mtaani tunasimamishwa kuanzia saa 12:00 mpaka upite.
Hapo ni nguvukazi, pesa, muda nk vinavyopotea, hivyo hiyo chopa itapunguza pia garama unazopigia kelele zipungue kwenye matumizi ya serikali au hata kwa mfasara ambao ungeongozana nao.
Huu kwa kweli ni usumbufu kwa raia wema! Kuna sababu gani ya kutumia barabara na kusababisha raia waweke magari yao pembeni kupisha msafara wa Rais? Huu ni usumbufu uliopita kipimo! Hebu atumie ndege zake bwana! Sasa hivi tumesimamishwa hapa Chalinze eti tunapisha msafara ambao bado uko Gairo! Sasa fikria muda ambao raia watautumia mpaka apite hapa Chalinze! "HAPA MAIGIZO TU"
Mmmh! Afadhali mkuu umeniokoa, jamaa wanataka kunimeza humu ndani. Tatizo la vijana wa div. 5 hata lugha za picha hawawezi kutafsiri wao ukisema Gairo wanamaanisha moja kwa moja ulikuwa unazungumzia Gairo ya mpakani na Kongwa, kazi kweli kweli. Watu wanakaa kwenye msafara saa 1 na nusu halafu useme msafara ulikuwa karibu huo? Hapana katika hili lazima abadili mfumo aiseee atatuumiza sisi walalahoi. Kama anataka wananchi wote wote wamwone akiwa ametanguliwa na ving'ora aseme ili tuzoee bwana!! Au aanzishe kale ka-utaratibu ka zamani ka kumwagiza mkuu wa wilaya awapange raia barabarani kusubiri rais akipita!!!Ndugu wewe hujui tu wenzako tunavyoteseka hapa. Wenzio tunaenda mbali na tumesimama saa nzima na bado tu hajapita afu wewe unasema tuunge mkono upuuzi huu!
Si ndiyo maana kapiga marufuku safari za majuu, yeye hawezi panda nbege anaona donge
Na wewe askari ni mbwa mshenzi mwanakharamu fisadi muuwaji katili usie na huruma na watanzania kwa maslahi ya mabwana zako choko weee
Haya maigizo yataisha muda si mrefu. Anadhani kuwa rais ni kazi ya mchezo. Alikuwa anashangaa kwa nini hakuna viwanda n.k sasa ajue ataulizwa yeye sasa kwa nini hakuna viwanda. Na nadhan muda si mrefu atajua sababu ni nini! Ili aache kushangaa. Ccm ni ileile!