Kero ya Rais kutumia barabara

Kero ya Rais kutumia barabara

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
16,526
Reaction score
18,618
Huu kwa kweli ni usumbufu kwa raia wema! Kuna sababu gani ya kutumia barabara na kusababisha raia waweke magari yao pembeni kupisha msafara wa Rais? Huu ni usumbufu uliopita kipimo! Hebu atumie ndege zake bwana! Sasa hivi tumesimamishwa hapa Chalinze eti tunapisha msafara ambao bado uko Gairo! Sasa fikria muda ambao raia watautumia mpaka apite hapa Chalinze! "HAPA MAIGIZO TU"
 
Hilo Magu Kashindwa Kugundua Anazani Anapunguza Ghalama Kumbe Anaongeza Watu Wanawekwa Pembeni Masaa Matatu Huku Wamesimamisha Shughuri Zao Et Rais Anapita Upuuzi Mtupu
 
Swala sio Magufuli swala ni kwann trafiki wanazuiaga magari mapema sana, nchi km Uganda unasimama unapokutana na msafara sio kusimama kumsubiri mtu anayeoga, trafik mnaboa
 
Mtoa mada muogope Mungu. Eleza ukweli. kutoka gairo hadi Moro ni SAA moja na nusu. Kutoka Moro hadi chalinze n saa moja. Jumla SAA mbili na nusu.

Hivi inawezekana nagari kusimamishwa kwa SAA mbili na nusu! Msafara upo gairo hata Wa moro mjini hafai kusimamishwa uje simamishwa wewe Wa chalinze!?

Tuache chuki za kisiasa. Tumuunge magufuli mkono akaijenge Tanzania mpya.
 
Huu kwa kweli ni usumbufu kwa raia wema! Kuna sababu gani ya kutumia barabara na kusababisha raia waweke magari yao pembeni kupisha msafara wa Rais? Huu ni usumbufu uliopita kipimo! Hebu atumie ndege zake bwana! Sasa hivi tumesimamishwa hapa Chalinze eti tunapisha msafara ambao bado uko Gairo! Sasa fikria muda ambao raia watautumia mpaka apite hapa Chalinze! "HAPA MAIGIZO TU"

Usikute upo KIMANZI huna lolote
 
Nyerere alilijua hili mapema ndiyo maana alitaka Serikali ihamie Dodoma kupisha jiji la Dsm na pwani wahangaike na biashara, lakini mpaka sasa wameng'ang'ania Dsm kila mbunge anaishi Dsm hata kama jimbo lake lipo mbali, Magufuli Kama kweli yeye ni mtu wa vitendo atekeleze hili la Serikali kuhamia Dodoma ataheshimika zaidi.
 
Hilo Magu Kashindwa Kugundua Anazani Anapunguza Ghalama Kumbe Anaongeza Watu Wanawekwa Pembeni Masaa Matatu Huku Wamesimamisha Shughuri Zao Et Rais Anapita Upuuzi Mtupu

Hapunguzi gharama hata kidogo ndiyo kwanza gharama imezidi mara 100 kwa mafuta ya zile gari zote ni kubwa kuluko kusafiri kwa ndege.
 
Ukikwama kwenye foleni Dar haulalamiki hivyo!

Foleni ya Dar ni Laana ya Nyerere baada ya Serikali kugoma kuhamia Dodoma kwani wangehamia huko na magari yao binafsi hakika foleni ingekwisha na leo hii Dodoma pangekuwa na maendeleo na kuwa na miji mingi yenye maendeleo Kama ilivyokuwa kule China hata South Africa kila mji una maendeleo hakuna cha watu kulundikana pamoja Kama Tanzania.
 
Mleta mada muongo na mpuuzi mimi ni askari mtu hawezi simamishwa wakati msafala upo gairo jamaa muongo halafu mpuuzi.
 
Back
Top Bottom