KERO Kero ya Maji

KERO Kero ya Maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
644
"INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?


Screenshot_20251213-113245_2.jpg
 
Fukuza Mkurugenzi ,Waziri na Katibu wa Wizara.
Unadhani hii ndio solution? Mkuu, mbona wamekuwa wakifukuzwa miaka yote 60+ na hakuna chochote wamefanya hadi leo na shida ya maji iko palepale.

Serikali iweke njia sahihi za kuondokana na haya matatizo ya maji nchini, tuna maji ya kutosha, vyanzo vingi, ila serikali chini ya watawala wa ccm haina vipaumbele, probably hawajui nini wafanye, au wanajua ila hawajui wafanyeje ili kufikia lengo, au wanajua kila kitu ila wanajua wanaongoza ng'ombe, hakuna shida kwao.
 
Ningekuwa Rais ningechukua initiative ya kujenga bwawa mto Ruvu na kijizolea points za kisiasa. Points za bure kabisa.
 
Nchi iliyolaanika kwa injustice Kama hii hamna litakalofanikiwa Sana Sana ni ladha ya maumivu tu kwa kila MTU , kila MTU ataonja madhara ya kuongozwa na vibaka maharamia wauaji wasiopewa ridhaa ya wananchi kuongoza , kwa wale machawa mnaotetea serikali hii haramu mjue kwamba hawa wahuni mnaowatetea humu They don't give a rat ass about you , mkose Maji mfe they don't care
 
Kuitegemea serilikali utaumia Kama mnaweza mnajikusanya kimtaa mtaa mnachimba Kisima chenu.
 
Back
Top Bottom