Hivi unawezaje kufanya sherehe ya gharama kubwa kwa kutumia michango ya watu wakati we mwenyewe kipato chako ni kidogo, hii si ni aibu? hata kama ndoa ni suala la kijamii kwani mtu ukioa kimyakimya si inatosha?
Ndoa nyingi za gharama nje ya uwezo zinafungwa Kwa influence ya mwanamke ili aonekane Kwa mashoga zke kwamba naye yumo, baada ya hizo sherehe misoto huanza, Hiyohyo misoto ndiyo huenda kuvunja ndoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.