Kero ya kilimanjaro hospital na bima

wakumbuli

Senior Member
Aug 20, 2009
147
4
Habari zenu wana jamii forum,mimi ni mkazi wa moshi kilimanjaro,huwa nikiumwa au ndugu yangu kuumwa huwa nampeleka kilimanjaro hospital,lakini huwa kuna kero kubwa hasa ukiwa unatumia bima kuanzia kwa madaktari na wadada wembamba wa mapokezi,jana nilienda nikiwa napeleka mgonjwa tukakaa zaidi ya masaa 2 tukaamua kumfuata doctor majibu aliyotoa niyakusikitisha,et amechoka,isitoshe tulikuwa tukiona akihudumia wagonjwa kinyemela,wafanywaje hawa watu
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,479
6,168
tafuta ushahidi wa kutosha then katoe ripoti haraka, hospitali kama hizi si za kuacha tunakatwa fedha nyingi sana aiseee!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom