Kero ya DAR LIVE KIPINDI HIKI...

Yote hayo ili kumuona Diamond kwenye helikopta, wabongo wapumbav sana!
 
Hivi bado kuna watu hawalali wanakesha kwenye madisko..maskini kwa kujitesa sisi..ndo kazi yetu kubwa we ushaona wapi mtu na pesa yake anakesha ukumbi wa starehe usiku mrefu..watu wamelala majumbani mwao wanahesabu pesa tu..sisi vidogo tulivyonavyo bado tunawapelekea..hehe...
 
nanikakwambia wenye hela wanalala! wanakesha jollies na klabu za members only huko masaki
 
hao hawana hela hao..za kubadili mboga tu..mtu serious huwezi acha kulala..ukaenda kujianika usiku mzima , ung'atwe na mbu..kisa mziki?? kwani huwezi jiwekea CD yako hap home ukajiburudisha?? kama si kupenda ngono na ushetani ni nini??
 
Shigongo fanya mabdiliko wewe ni mjasiliamali wa ukweli kabisa hapa tanzani!

Nani amekwambia Dar Live ni ya Shigongo? Yeye ametumika kama kivuli tu, mwenye lile jengo pale big bon sinza mori, anayemiliki lake oil ndo huyo mmiliki pia wa dar live, first born wa baba mwanaasha.
 
Hivi bado kuna watu hawalali wanakesha kwenye madisko..maskini kwa kujitesa sisi..ndo kazi yetu kubwa we ushaona wapi mtu na pesa yake anakesha ukumbi wa starehe usiku mrefu..watu wamelala majumbani mwao wanahesabu pesa tu..sisi vidogo tulivyonavyo bado tunawapelekea..hehe...
Watu wanaolala lala hovyo siku za weekend labda ni watu kama wewe huenda upo majalala kwa mfuko, maisha yenyewe haya kwa nini watu wajibane mkuu? wacha watu wale Good time kwa raha zao ili wapunguze stress na ukali wa maisha.
 
Back
Top Bottom